VIDEO: Vijana wa JKT wajirekodi na kusema wakikuta mtu akiandamana watamdhuru

Moja, waombe sana waajiriwe na either serikali, au baba zao, pili, wajiandae kuishi mitaani kama digidigi, maana hizi video wananchi wamezitunza.
Kwa akili zao wanadhani Uaskari ni uwezo wa kupambana na yeyote? Uaskari ni nidhamu, na askari na raia wanategemeana.
Wajiandae kusaga meno.
 
Wakiwa na Tsh 20,000 ya kulipia wachome tu? Ndo shida ya kutetea bila kufikiri.
kwani waliobebwa ufala wa kifikra na walkalipua vituo vya mafuta na kupora maduka ya watu walilipwa kiasi gani na chama chenu, lakini pia na AZAKI gentleman?🐒
 
Sio kweli sasa hivi form six wote wanaenda
Mkuu sijamaanisha hao kwa mujibu!! Mm maana yangu ni wale wa kujitolea baadae ndoto Yao iwe kulitumikia jeshi au polisi wengi wao ni connected kutoka vijana wa UVCCM na wengine wa watu wa CCM kabisa.

Mkuu kulipata vazi la kijeda au polisi sasa hivi sio ukakamavu wala uzalendo tena kama haupo kwenye familia ya mfumo wa kijani hautoboi utaishia tu kufundishwa kufyatua matofari na kulima bamia alafu urudi nyumbani
 
kwani waliobebwa ufala wa kifikra na walkalipua vituo vya mafuta na kupora maduka ya watu walilipwa kiasi gani na chama chenu, lakini pia na AZAKI gentleman?🐒
Wewe mwanamke ficha ujinga wako!! Kama unawajua hao waliochoma vituo vya mafuta hebu tueleze miili ya hao marehemu waliokuwa wanazagaa barabarani mliizika wapi?? Mbona unaandika ujinga wewe mwanamke
 
vijana wa ovyo ugali utawafanya wasaliti kiapo
 
Hongereni vijana wazuri, sana!
 
Safi sana vijana wazalendo! Vunja kiuno kabisa washindwe kufanya ngono!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…