Noo! Usipoteze muda. Jamii na serikali ina tabia ya kuwalazimisha kutawaliwa watu wenye uelewa mdogo kama unavyoona mbuzi mkorofi anaburuzwa kupelekwa majungoni. Tutakuburuza tu, ukiziona nyasi utakula na kushukuru.Pole kwa mawe mkuu , nitaungana na wale wote wanaopigania haki za Watanzania
Kwa kifupi mapungufu ya kenya ni madogo kulinganisha na mapungufu makubwa ya utawala wa mtukufu magufuli ambao umejaa unyanyasaji uonevu uovu mwingi kuwabambikia kesi kuwapiga risasi kuwabambikia wafanyabiashara kodi kubwa TRA kuwapa kesi za uhujumu uchumi kupora mali zao kwa visingizio hatamu, kutafuna trilion 1.5 kisha kumtoa CAG kafara na mabaya mengineyo kibao ikiwemo ujenzi wa chato Airport kienyeji pasipo idhini ya bunge. Usilinganishe kenya na Tanzania kwenye Udikiteta kwani Tanzania kuna udikiteta wa kutisha zaidiMahakama gani hiyo unayoisifia? Jamani eeh! Someni mfahamu maamuzi hayo yalifanyikaje na majaji gani na kwa nini Uhuru alitukana baada ya uamuzi huo. Kwa nini hamtaki kujisomea?
hakuna ukabila au hujui kama kuna ukabila?ukabila ni vitendo na sio labda yatakuja matangazo jamaaniiii eeeh kuna ukabila hukuuuu. Awamu ya 5 kuna ukabila mzuri tu wa chini umeenea sana kwenye vyeoHapana kaka yangu Tanzania hakuna ukabila kabisa, ukabila upo Kenya
Pia nimesoma katiba ya kenya inamapungufu mengi kuliko ya Tanzania
Mimi sina chama ni Mzalendo
Mkuu walichofanikuwa chadema kwa miaka yote 5 ni kujadili kingereza cha Magufuli basi!Hawa mashabiki wa CHADEMA wana ufahamu mdogo sana! Wameshindwa mbinu zao sasa wanaomba hata kifo kije CCM tu wao wabaki, jambo ambalo haliwezekani. Yaani haka ka-uchaguzi wanategemea kalete vurugu za kuwafikisha The Hague CCM? Eti Lissu anatafuta kuungwa mkono Ulaya na US, kwa lipi? Nani aliona wazungu kumuunga mkono mtu asiye na maslahi kwao? Demokrasia ipi wakati kuna marais afrika hii wanaishi Ufaransa kwa amani bila hata kupigiwa kelele?
Kuna mambo ya msingi ambayo kwa miaka yote wabunge wa upinzani walistahili kuyapigia kelele, wao wakishaingia Bungeni tu, mambo yote ni dili za pesa, ufuska na ulevi wa Dodoma. Uchaguzi ukiwa mwaka huu ndo wanakumbuka tume huru. Huko mikoani wako chini ya mkuu wa mkoa/wilaya ambaye pia ni mkuu wa usalama mkoani/wilayani ambaye pia ni mjumbe wa kamati ya siasa (CCM) ya mkoa/wilaya! Hilo wanaliangalia tu na wanaona haliwaongezei posho, hawalalamiki. Bure kabisa!
Crimea,Pale Kenya sasa hivi ni kama hamna mkubwa! Kila mtu ni kambare! Wamejaa ukabila, hayo ndio waliyoendelea hakuna kingine.
Fikiria uchaguzi bado miaka 2 lakini ofisi ya rais Kenyata ina mgogoro wa kugombea madaraka ya 2022
Unaulizaje maswali ya kitoto bwashee!wapi nimesema wazanzibari waislamu jibu swali
Hivi Kumbe kenya kuna wazanzibari waliouliwa kwa maelfu , wakabakwa na kuchukuliwa mali zao ??
Mapungufu madogo na makubwa ni kitu gani?? Wewe vipi? Huna matukio yanayopimika? Hebu ingia google uangalie makamishna wa tume ya Kenya na vurugu zao wakati wa uchaguzi, halafu niambie kama kweli hiyo ndo tume unayoipa unafuu!Kwa kifupi mapungufu ya kenya ni madogo kulinganisha na mapungufu makubwa ya utawala wa mtukufu magufuli ambao umejaa unyanyasaji uonevu uovu mwingi kuwabambikia kesi kuwapiga risasi kuwabambikia wafanyabiashara kodi kubwa TRA kuwapa kesi za uhujumu uchumi kupora mali zao kwa visingizio hatamu, kutafuna trilion 1.5 kisha kumtoa CAG kafara na mabaya mengineyo kibao ikiwemo ujenzi wa chato Airport kienyeji pasipo idhini ya bunge. Usilinganishe kenya na Tanzania kwenye Udikiteta kwani Tanzania kuna udikiteta wa kutisha zaidi
hakuna ukabila au hujui kama kuna ukabila?ukabila ni vitendo na sio labda yatakuja matangazo jamaaniiii eeeh kuna ukabila hukuuuu. Awamu ya 5 kuna ukabila mzuri tu wa chini umeenea sana kwenye vyeo
Kenya ni ya kuishauri au hata kuishangaa Tanzania? Hebu wapambane na hali yao kwanzaHawa ni wachambuzi wa kisasa nchini Kenya wakishangazwa na namna Tanzania ilipo bado kwenye ukoloni japo ni wa watu weusi.
Inafuatwa?
Huyu mtu alipata bachelor Kwa kiingereza, masters Kwa kiingereza, PhD Kwa kiingereza. Wewe umewahi kufanya research? Masters na PhD ni research tupu, na ikifika dissertation ndiyo unachanganyikiwa kabisa. How many people you meet and how many journals you read and reference ? Halafu kiingereza hajui!Mkuu walichofanikuwa chadema kwa miaka yote 5 ni kujadili kingereza cha Magufuli basi!
Sasa utasema waliotengua ule uchaguzi ni wahuni ?!. Mpaka leo kumbukumbu zinasomeka ulitenguliwa na mahakama . Je kwetu utafanyaJe ukifanyiwa uhuni ?!. Tumeona Malawi waliokolewa na mahakama . Nia ya kuunda muundo huu ulikuwa na hila za kuzuia wananchi kujiamulia mustkbali wao.Mahakama gani hiyo unayoisifia? Jamani eeh! Someni mfahamu maamuzi hayo yalifanyikaje na majaji gani na kwa nini Uhuru alitukana baada ya uamuzi huo. Kwa nini hamtaki kujisomea?
Upinzani wa aina hii ni hasara tu! Hawatusaidii watanzania maana malengo yao ni tofauti kabisa. Sasa nina imani wanachokitafuta ni kuingia madarakani ili watafune pesa ya nchi kwa amani. Eti wanaitwa makamanda! Bungeni miaka 5 bila kususia bunge ili kutafuta haki ya utawala na mpangilio mzuri wa utawala serikalini, wao wanasubilia Tume inayowapa Ubunge ili waendelee kupata posho. Wakisusia ujue ni show tu! Wanasusia Corona halafu wanaumia usiku kwenye matanuzi. Lissu anafika Nairobi na kulaani nchi eti imejaa Corona na vifo halafu anaingia na kuanza mizunguko bila woga wa hiyo corona. Just show off!Mkuu walichofanikuwa chadema kwa miaka yote 5 ni kujadili kingereza cha Magufuli basi!
Hawa ni wachambuzi wa kisasa nchini Kenya wakishangazwa na namna Tanzania ilipo bado kwenye ukoloni japo ni wa watu weusi.
Ukabila na "Undugunaizesheni" kipi kibaya zaidi? Mtoto wa dada kuwa paymaster umeiona wapi kama si kwa madikteta? Kwenye ukabila kiukweli kabisa Magufuli anaongoza afrika nzima. Angalia wakuu wa taasisi zote nyeti hapa nchini, ni kabila gani? Kisha fananisha na wakati wa Nyerere, Mwinyi, Mkapa na Kikwete ndiyo utaelewa. Kilangila.Pale Kenya sasa hivi ni kama hamna mkubwa! Kila mtu ni kambare! Wamejaa ukabila, hayo ndio waliyoendelea hakuna kingine.
Fikiria uchaguzi bado miaka 2 lakini ofisi ya rais Kenyata ina mgogoro wa kugombea madaraka ya 2022
Fafanua hili kwa mifano halisi. Mkuu. Tuhuma yako hii ni nzito sana.Lakini nje ya miji mikubwa ukabila ni tatizo
Mkuu wachaga ni mchwa katika hii nchi.Kuna Wa.pu.mba.vu fulani hapa jamii forum wanawaona Wasukuma kama siyo kabila la Tanzania!! Akili yao muda wote ni kuwasema vibaya Wasukuma hili halikubaliki hata kidogo!!!
Huko nyuma walipenda sana kuwasema vibaya Wasukuma kuwa hawajitambui hawajasoma na hawapendani, Wasukuma wa watu walisikiliza kila aina ya masimango na kuyameza huku wakijitahidi kusoma kwa nguvu zote ili waondokane na hayo manyanyaso na matukano ya kila aina, Leo hii wasomi wamekuwa wengi kila utakapokwenda utawakuta Taasisi zote wapo ukienda Vyuoni si rahisi kumkosa Kijana wa Kisukuma katika kozi yoyote ile hususani za Sayansi na Uhandisi!
Cha ajabu sasa watu walewale waliokuwa wakiwacheka na kuwatukana Wasukuma wamegeuka na kuanza kuimba ukabila hili kwa kwakweli halikubaliki, si vibaya kuwapa sifa Wasukuma kwa kupigana kwa nguvu zote kuondokana na hali ya kutukanwa na kusimangwa kuliko kuwapo ati hawana elimu.
Kuna Taasisi nyingi tu hapa Tanzania zimejaa kabila fulani fulani lakini lawama wanapewa Wasukuma
Tanzania **** watu ila kwenye familia yako na ukoo wako ndio mmejaa mang'ombeKitu ambacho huyu Mkenya hajui kuwa tz hakuna watu kuna ming'ombe tu!
Nikuulize wewe binafsi, bila ushabiki. Unaweza kuzungumza kiingereza kwa siku nzima? Au nikuombe uandike aya moja iliyo sahihi kwa kiingereza. Tuko kwenye viwango tofauti vya lugha lakini siyo imani kwamba ni ujinga. ni mazingira tu. Vigezo vya ujinga ni kusoma, kuandika na kuhesabu, basi!Huyu mtu alipata bachelor Kwa kiingereza, masters Kwa kiingereza, PhD Kwa kiingereza. Wewe umewahi kufanya research? Masters na PhD ni research tupu, na ikifika dissertation ndiyo unachanganyikiwa kabisa. How many people you meet and how many journals you read and reference ? Halafu kiingereza hajui!