dikteta2020
JF-Expert Member
- Aug 14, 2018
- 595
- 3,991
- Thread starter
-
- #21
Hivi wewe ni kwamba hauna akili au? Mpaka leo watu watatu wameshalala kaburini kutokana na uchaguzi au hujui?Lakini bado wanakataa matokeo ya uchaguzi na anayeshindwa kusema ameibiwa kura, na kuanza kuuwa watu hovyo, TZ yetu hakuna aliyeuliwa sababu ya Uchaguzi.
Low IQ!
Ni kweli ukabila ni tatizo Kenya . Lakini pia ukabila ni tatizo hapa Tanzania . Labda kidogo mijini watu hawajali ukabila. Lakini nje ya miji mikubwa ukabila ni tatizo .
Tukirudi kwenye hoja yao, ni ya msingi . Ukiwapinga ni mpungufu wa akili. Katiba yetu ina mapungufu sana na uelekeo wake ni wa ki communist. Wa kumsifu na kumuabudu kiongozi hata pale anapotenda majukumu yake ya kikatiba. Na kama si kiongozi basi ukitukuze chama tawala hata kama sera zao haziwezi kuisaidia nchi . Mfano ni Korea kaskazini.
Huwezi kuwa na tume ya aina hii karne hii labda Tanzania tu.
Mkuu jadili hoja. Simba na Yanga zinakutana uwanjani referi, kibendela na kamisaa na uwanja vyote ni vya Simba, Yanga atakuwa na chake? Hiyo ndo hoja.Pale Kenya sasa hivi ni kama hamna mkubwa! Kila mtu ni kambare! Wamejaa ukabila, hayo ndio waliyoendelea hakuna kingine.
Fikiria uchaguzi bado miaka 2 lakini ofisi ya rais Kenyata ina mgogoro wa kugombea madaraka ya 2022
Hivi wewe ni kwamba hauna akili au? Mpaka leo watu watatu wameshalala kaburini kutokana na uchaguzi au hujui?
Katiba ya TZ ni janga la kimataifa.wanasema tume ya uchaguzi ni tume huru.sikiliza hii maneno utatambua kwamba CCM inawafanya watanzania woteee ni wajingaHawa ni wachambuzi wa kisasa nchini Kenya wakishangazwa na namna Tanzania ilipo bado kwenye ukoloni japo ni wa watu weusi.
Hapo hakuna ukabilaSiasa za Kenya ni za ubaguzi wa kikabila.
Kenya wapambane kwanza waondoe hili kabla ya wao kukosoa wengine.
Chadema wanao.Tanzania hatuna ukabila bwashee.
Mkapa amekiri kuu watu kutoka na uchaguzi,wewe mburula unasema hakuna.Lakini bado wanakataa matokeo ya uchaguzi na anayeshindwa kusema ameibiwa kura, na kuanza kuuwa watu hovyo, TZ yetu hakuna aliyeuliwa sababu ya Uchaguzi.
Low IQ!
Mkapa amekiri kuu watu kutoka na uchaguzi,wewe mburula unasema hakuna.
Hapa ndiyo kuna ukabila sasa. 2016 wakuu wa mikoa 26, lakini 13 walikuwa wa kabila moja !!. Fanya utafiti ndiyo ukane .Hapana kaka yangu Tanzania hakuna ukabila kabisa, ukabila upo Kenya
Pia nimesoma katiba ya kenya inamapungufu mengi kuliko ya Tanzania
Mimi sina chama ni Mzalendo
Doto James ni hao haoChadema wanao.
Mkapa katika kitabu chake alikiri kua serikali yake iliua watu wengi baada ya uchaguzi 2001Sijakuelewa ulichoandika unaweza fafanua kama ukipenda, ...
Mkapa katika kitabu chake alikiri kua serikali yake iliua watu wengi baada ya uchaguzi 2001
Sasa wewe ni nani unampinga watu hawajafa kwa uchaguzi?
Mkuu umeshafika huku? Kuna swali kule nimekuuliza hujanijibu, jiwe anapendwa na watu kama wewe, je wewe unatatizo gani? Au unajiona uko sawa?Nimesoma kaka ile katiba ya kenya imejaa ubaguzi wa kabila
Usilinganishe demokrasia iliyoko Kenya na ujinga unaofanyika hapa Tanzania, tatizo mnajifanya wajuaji lkn machoni pa dunia mnaonekana wajinga flani tu.Pale Kenya sasa hivi ni kama hamna mkubwa! Kila mtu ni kambare! Wamejaa ukabila, hayo ndio waliyoendelea hakuna kingine.
Fikiria uchaguzi bado miaka 2 lakini ofisi ya rais Kenyata ina mgogoro wa kugombea madaraka ya 2022
Hao nyang'au watawadanganya makamanda uchwara tu.Ni kweli ukabila ni tatizo Kenya . Lakini pia ukabila ni tatizo hapa Tanzania . Labda kidogo mijini watu hawajali ukabila. Lakini nje ya miji mikubwa ukabila ni tatizo .
Tukirudi kwenye hoja yao, ni ya msingi . Ukiwapinga ni mpungufu wa akili. Katiba yetu ina mapungufu sana na uelekeo wake ni wa ki communist. Wa kumsifu na kumuabudu kiongozi hata pale anapotenda majukumu yake ya kikatiba. Na kama si kiongozi basi ukitukuze chama tawala hata kama sera zao haziwezi kuisaidia nchi . Mfano ni Korea kaskazini.
Huwezi kuwa na tume ya aina hii karne hii labda Tanzania tu.
Tanzania Asili yetu hatuna ukabila ila kuanzia 2015 mambo yamebadilikaHapana kaka yangu Tanzania hakuna ukabila kabisa, ukabila upo Kenya
Pia nimesoma katiba ya kenya inamapungufu mengi kuliko ya Tanzania
Mimi sina chama ni Mzalendo
Hebu ipinge hoja yao kwa hoja . Unyang'au wao uwaachie wao.Hao nyang'au watawadanganya makamanda uchwara tu.
Tanzania Asili yetu hatuna ukabila ila kuanzia 2015 mambo yamebadilika
Mshika funguo za hazina ya Tanzania nzima ni mtoto wa dadake Pombe
Mwenyekupewa kandarasi bila zabuni za serikali ni mume mwenza
60%ya wateuliwa ni kabila moja mkuu wa majeshi. Na majeshi mengine kabila lile lile
Anyway miaka mitano inayo Kuja kama tukiendelea hivi Tanzania itajikuta pabaya
Hakuna makabila ya kaskazini serikalini ila wawe kada wa chama
Wafanyabiashara wa maeneo fulani wamefilisiwa
Fanya utafiti utagundua hekma ya Nyerere kwa makabila makubwa