Bams
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 19,362
- 48,879
Muundo wa NEC, na jinsi inavyopatikana, ni upuuzi wa hali ya juu. Hakuna mwenye akili timamu, hata shetani anayeweza kukiri kuwa muundo wa NEC ni sahihi. Ni ujinga wa hali ya juu.
Tukibahatika kumpata Rais mwenye akili nzuri, mwenye hekima, upeo na uelewa, ambaye hana roho ya shetani, hata bila kulalamikiwa, yeye mwenye atasema, sitaki muundo huu wa NEC maana unanifanya nionekane mjinga na shetani.
Ndiyo maana Mkapa baada ya kurudiwa na akili aliona aheri ajutie ujinga ule wa kuwa na NEC ya muundo ule. Mwisho akasema, angependa kuona tume iliyo huru. Na Mungu hakumpa nafasi hiyo.
Sent using Jamii Forums mobile app