Uchaguzi 2020 VIDEO: Wachambuzi wa siasa Kenya washangazwa na muundo wa uchaguzi wa Tanzania, wasema walitoka huko kitambo sana

Uchaguzi 2020 VIDEO: Wachambuzi wa siasa Kenya washangazwa na muundo wa uchaguzi wa Tanzania, wasema walitoka huko kitambo sana

CCM hawapendi kusikia haya .... wataanza kuwashambulia Wakenya kwa kueleza ukweli!!
CCM hawapendi kusikia ukweli kwa sababu lazima mtu uwe na akili kutambua ukweli akili ambazo wanachama wa Chama hicho wote wanakosa ndo maana hawataki kusikia midahalo au mahojiano na wapinzani. Kila mtu mjinga anaweza kusema uongo kwa sababu anaweza kujazwa tu na mjinga mwenzie asitambue kuwa anachotangaza si kweli lakini mwerevu akatambua mara moja mbivu au mbichi. Wanachosema majirani zetu ni kweli kabisa na wanashangaa sana hapa tulipofikia lakini wajinga wetu watakuja hapa kuwashambulia na kuwaita majina mbalimbali kwa nia ya kutaka kusikika na wajinga wenzao wa huko juu. Bahati mbaya sana wasomi wetu wachache wenye PhD za Vyuoni wanakaa kimya mpaka kudharauliwa wakitawaliwa na PhD za jalalani wakisahau mabadiliko mengi duniani yamekuwa yakianzia Vyuoni.
 
Hapa ndiyo kuna ukabila sasa. 2016 wakuu wa mikoa 26, lakini 13 walikuwa wa kabila moja !!. Fanya utafiti ndiyo ukane .
Kuna watu wanapenda kuimba single (singeli)ambazo zimepitwa na wakati. Kuna watu walibomolewa nyumba zao, yalipotakiwa kujirudia Mwanza ubomoaji ukasitishwa kisa walimpigia mtu fulani kura. Walioko maofisi ya umma wanaona jinsi wakuu wao wanavyo chaguliwa (kama si kabila basi kanda). Ukabila unaweza usiwe kama Kenya lakini upo.
 
Tanzania ni nchi ya aibu,a shame country!Lissu atafuta aibu yote hii kuanzia oct 28
 
Siasa za Kenya ni za ubaguzi wa kikabila.

Kenya wapambane kwanza waondoe hili kabla ya wao kukosoa wengine.
Uko sawa kabisa, Kenya tatizo lao kubwa linajulikana ni ukabila. Vipi sasa kwenye hili tatizo waliloongelea linalotukabili sisi "TUME YA UCHAGUZI" hapo unasemaje?
 
Hapana kaka yangu huo ni uwongo unatungwa kuchafua viongozi

Ila kusema ukweli Rais Magufuli anapendwa sana jamani
Kweli magufuli anapendwa hadharani lakini katika mioyo ya watu anaechukiwa Sana
Ameua wengi sana
Amefilisi wengi sana
Amebambikiza kesi wengi
Amekula hela za rambirambi za wahanga wengi
Mbinafsi aliejenga kiwanja cha kimataifa kijijini kwao
Tangu aingie madarakani Tanzania imeshikilia watuhumiwa wa ugaidi kuliko Afghanistan
Tundu lissu kapigwa risasi kakataa asipewe hela ya matibabu hata walioenda kumuona aliwakasirikia huo ni ukatili wa hali ya juu
Mzee Mwinyi alienda kumuangalia lissu hospital i Mara mbili na akampa pesa kidogo
Mzee Mwinyi akasema ubinadamu Ndio umefanya aende kumuona na kama kuna mtu kakasirika pole
Anapendwa Sana pombe!!
Kwa kigezo gani??
Mbona ndo rais pekee Afrika anaelindwa Sana
Je wajua mzee mwinyi katawala Mika 10 lakini mpaka sasa anakaa kijuweni anakunywa kahawa bila mlinzi?
 
Una uhakika Tanzania hakuna ukabila? Angalia jpma alivyojaza wasukuma serikalini CDF, mkurugenzi wa pccb, doto James na mawazili kibao
Yani hiyo ndio mifano ya uwepo wa ukabila tz?
 
Siasa za Kenya ni za ubaguzi wa kikabila.

Kenya wapambane kwanza waondoe hili kabla ya wao kukosoa wengine.
Mkuu hizi siasa zetu hapa bongo ni za ubaguzi, chuki na ukatili. Kama huna jadi ya CCM wewe huna haki hata ya kuvuta hewa kwenye nchi yako uliyozaliwa! Ni bora hayo ya kenya kuliko hii Neo apartheid ya hapa Bongo
 
Kweli magufuli anapendwa hadharani lakini katika mioyo ya watu anaechukiwa Sana
Ameua wengi sana
Amefilisi wengi sana
Amebambikiza kesi wengi
Amekula hela za rambirambi za wahanga wengi
Mbinafsi aliejenga kiwanja cha kimataifa kijijini kwao
Tangu aingie madarakani Tanzania imeshikilia watuhumiwa wa ugaidi kuliko Afghanistan
Tundu lissu kapigwa risasi kakataa asipewe hela ya matibabu hata walioenda kumuona aliwakasirikia huo ni ukatili wa hali ya juu
Mzee Mwinyi alienda kumuangalia lissu hospital i Mara mbili na akampa pesa kidogo
Mzee Mwinyi akasema ubinadamu Ndio umefanya aende kumuona na kama kuna mtu kakasirika pole
Anapendwa Sana pombe!!
Kwa kigezo gani??
Mbona ndo rais pekee Afrika anaelindwa Sana
Je wajua mzee mwinyi katawala Mika 10 lakini mpaka sasa anakaa kijuweni anakunywa kahawa bila mlinzi?
Unaweza kutaja hayo uliyosema kwa mifano?
 
Siasa za Kenya ni za ubaguzi wa kikabila.

Kenya wapambane kwanza waondoe hili kabla ya wao kukosoa wengine.
Ukweli huwa hauangalii kama anayeutoa ni fasiqi au ni laa!

Ndiyo maana Shaabani Robert akasema "..Ni bora kuwa na adui mwenye akili kuliko kuwa na rafiki mjinga.."

Ijapakuwa ni adui ni mwenye madhara kwako lakini anakupa manufaa ya kutumia vyema akili.

Suala si anayelisema ni nani! Suala kinachosemwa ni kipi!

Tukifuata nyayo zako hata maendeleo ya kielimu na miji tusingekuwa nayo! Kwa sababu inatoka kwa mabeberu!

Wazee wetu kwa kulitambua hili ndiyo maana wakasema "..ijapokuwa baniyani ni mbaya lakini kiatu chake ni dawa.."

Tuchukue manufaa, ikhtilafu zao tuwaachie wenyewe.
 
Back
Top Bottom