Ni kweli ukabila ni tatizo Kenya . Lakini pia ukabila ni tatizo hapa Tanzania . Labda kidogo mijini watu hawajali ukabila. Lakini nje ya miji mikubwa ukabila ni tatizo .
Tukirudi kwenye hoja yao, ni ya msingi . Ukiwapinga ni mpungufu wa akili. Katiba yetu ina mapungufu sana na uelekeo wake ni wa ki communist. Wa kumsifu na kumuabudu kiongozi hata pale anapotenda majukumu yake ya kikatiba. Na kama si kiongozi basi ukitukuze chama tawala hata kama sera zao haziwezi kuisaidia nchi . Mfano ni Korea kaskazini.
Huwezi kuwa na tume ya aina hii karne hii labda Tanzania tu.