Wanawadanganya kwa kusema nini?Hao nyang'au watawadanganya makamanda uchwara tu.
Hizo siasa za ukabila ndiyo anazozipenda na kuzipalilia mgombea wa CCM. Hukumsikia anasema, nichagueni, mimi ni msukuma mwenzenu? Mgombea wako anazitamani sana.Siasa za Kenya ni za ubaguzi wa kikabila.
Kenya wapambane kwanza waondoe hili kabla ya wao kukosoa wengine.
Sasa inatakiwa ujue Tanzania Ndio nchi pekee ambayo mgombea anachagua wasimamizi wa uchaguziOK kama ni kweli hiyo ni mpya kwangu sikujua, ...
Kiukweli wakenya wana haki ya kutucheka! Katiba yao na jinsi wanavyoheshimu haki za makundi ya kiraia ni darasa tosha kwa Tanzania! Yote hayo ni matokeo ya kukitupa nje chama kikongwe cha KANU! Sisi huku bado tunaendeleza sisasa za kikoloni kwasababu bado tunatawaliwa na chama kikongwe kilichong'ang'ania hadi sheria za kikoloni na ulaghai wa kila aina! Mkiongeza pressure ya kudai katiba mpya, wakija kwenye kampeni wanawambia chagua flani ataleta katiba mpya, mkshamchagua mnaambiwa katiba mpya sio kipaumbele!
AfuricaHawa ni wachambuzi wa kisasa nchini Kenya wakishangazwa na namna Tanzania ilipo bado kwenye ukoloni japo ni wa watu weusi.
Inawezekana hujui hata ni vitu gani vinafanya katiba kuwa nzuri.Hapana kaka yangu Tanzania hakuna ukabila kabisa, ukabila upo Kenya
Pia nimesoma katiba ya kenya inamapungufu mengi kuliko ya Tanzania
Mimi sina chama ni Mzalendo
Hata mimi Sina JamaSio kweli kaka yangu Tanzania hakuna ukabila huo ni uwongo unatungwa kuchafua viongozi
Mimi sina chama
Kawaulize wakenya wanachokipata saa hii kutokana na hiyo katiba nzuri
Sasa inatakiwa ujue Tanzania Ndio nchi pekee ambayo mgombea anachagua wasimamizi wa uchaguzi
Mimi sio mwana siasa wala Hua sipigi kura
Kwa akili ya kawaida simba na yanga wakicheza halafu kipa wa yanga awe Ndio muamuzi
Haileti maana
Hata mimi Sina Jama
Jaribu ku Google Dotto James utagundua ni mtoto wa dadake pombe
Na mengine fanya utafiti
Mpaka saaa bado hatujahidi ukabila kwa sababu kwa miaka 60 tulikua hatuna ukabila
Miaka mi5 hii bado haijakolea ila baadae utagundua
Sehemu za Kazi na biashara zitashikwa na wasukuma utaona tuombe uhai
Wachaga. Wahaya na wanyakyusa hakuna serikalini na biashara zao zinafilisiwa na TRA
Kama wanavyosema.
Wanashangaa nini hawa? Wapambane na corona yaoPale Kenya sasa hivi ni kama hamna mkubwa! Kila mtu ni kambare! Wamejaa ukabila, hayo ndio waliyoendelea hakuna kingine.
Fikiria uchaguzi bado miaka 2 lakini ofisi ya rais Kenyata ina mgogoro wa kugombea madaraka ya 2022
Una uhakika Tanzania hakuna ukabila? Angalia jpma alivyojaza wasukuma serikalini CDF, mkurugenzi wa pccb, doto James na mawazili kibaoHapana kaka yangu Tanzania hakuna ukabila kabisa, ukabila upo Kenya
Pia nimesoma katiba ya kenya inamapungufu mengi kuliko ya Tanzania
Mimi sina chama ni Mzalendo
Sasa huoni kama ni wajinga kuchaguana kikabila? Ukabila una nafasi gani karne hii?Kenya kuna ukabila kwa sababu kuna makabila makubwa yenye watu wengi. Tz hatuna ukabila siyo kwasababu tuna akili sana au maarifa sana, hapa Tz makabila makubwa matatu yakisema yawe na mgombea wao wampe kura hazitatosha kushinda, mwanasiasa hawezi kutegemea ukabila kushinda uchaguzi Tz.
Kenya makabila makubwa Wakikiyu, Wajaluo na Wakalenjin wana wapiga kura wa kutosha kuweza kumweka Rais madarakani ila Tz idadi ya makabila makubwa matatu hayawezi kuweka Rais madarakani tuna makabila not less than 120 , huwezi ukategemea kura za kabila moja au mawili.kushinda urais
Yetu imejaa ubaguzi wa kukipendelea chama kilichopo madarakani kiendelee kubaki madarakani. Ukiambiwa utaje kifungu kinachopendelea au kubagua makabila huweziNimesoma kaka ile katiba ya kenya imejaa ubaguzi wa kabila
Sina muda wa huo ulofa.Hebu ipinge hoja yao kwa hoja . Unyang'au wao uwaachie wao.