Hawa jamaa wameongea sawa ila kwao agenda ni Magufuli(kiboko yao) asirudi.Hawa ni wachambuzi wa kisasa nchini Kenya wakishangazwa na namna Tanzania ilipo bado kwenye ukoloni japo ni wa watu weusi.
CCM hawapendi kusikia ukweli kwa sababu lazima mtu uwe na akili kutambua ukweli akili ambazo wanachama wa Chama hicho wote wanakosa ndo maana hawataki kusikia midahalo au mahojiano na wapinzani. Kila mtu mjinga anaweza kusema uongo kwa sababu anaweza kujazwa tu na mjinga mwenzie asitambue kuwa anachotangaza si kweli lakini mwerevu akatambua mara moja mbivu au mbichi. Wanachosema majirani zetu ni kweli kabisa na wanashangaa sana hapa tulipofikia lakini wajinga wetu watakuja hapa kuwashambulia na kuwaita majina mbalimbali kwa nia ya kutaka kusikika na wajinga wenzao wa huko juu. Bahati mbaya sana wasomi wetu wachache wenye PhD za Vyuoni wanakaa kimya mpaka kudharauliwa wakitawaliwa na PhD za jalalani wakisahau mabadiliko mengi duniani yamekuwa yakianzia Vyuoni.CCM hawapendi kusikia haya .... wataanza kuwashambulia Wakenya kwa kueleza ukweli!!
Kenya siyo nchi ya kupigia mfano!Hawa ni wachambuzi wa kisasa nchini Kenya wakishangazwa na namna Tanzania ilipo bado kwenye ukoloni japo ni wa watu weusi.
Wao wameweza nini?Hawa ni wachambuzi wa kisasa nchini Kenya wakishangazwa na namna Tanzania ilipo bado kwenye ukoloni japo ni wa watu weusi.
Kuna watu wanapenda kuimba single (singeli)ambazo zimepitwa na wakati. Kuna watu walibomolewa nyumba zao, yalipotakiwa kujirudia Mwanza ubomoaji ukasitishwa kisa walimpigia mtu fulani kura. Walioko maofisi ya umma wanaona jinsi wakuu wao wanavyo chaguliwa (kama si kabila basi kanda). Ukabila unaweza usiwe kama Kenya lakini upo.Hapa ndiyo kuna ukabila sasa. 2016 wakuu wa mikoa 26, lakini 13 walikuwa wa kabila moja !!. Fanya utafiti ndiyo ukane .
Yetu imejaa ubaguzi wa kukipendelea chama kilichopo madarakani kiendelee kubaki madarakani. Ukiambiwa utaje kifungu kinachopendelea au kubagua makabila huwezi
Umesahau Wasukuma walivyoamua kumpa Magufuli kura na Kaskazn wakampa lowasa?Siasa za Kenya ni za ubaguzi wa kikabila.
Kenya wapambane kwanza waondoe hili kabla ya wao kukosoa wengine.
Ndiyo mjue kuwa huwa hamna hoja upande huo. Zaidi ni kubebwa na vyombo vya dola na vya maamuziSina muda wa huo ulofa.
Uko sawa kabisa, Kenya tatizo lao kubwa linajulikana ni ukabila. Vipi sasa kwenye hili tatizo waliloongelea linalotukabili sisi "TUME YA UCHAGUZI" hapo unasemaje?Siasa za Kenya ni za ubaguzi wa kikabila.
Kenya wapambane kwanza waondoe hili kabla ya wao kukosoa wengine.
Akikujibu hapo kistaarabu ukatambikieUko sawa kabisa, Kenya tatizo lao kubwa linajulikana ni ukabila. Vipi sasa kwenye hili tatizo waliloongelea linalotukabili sisi "TUME YA UCHAGUZI" hapo unasemaje?
Kweli magufuli anapendwa hadharani lakini katika mioyo ya watu anaechukiwa SanaHapana kaka yangu huo ni uwongo unatungwa kuchafua viongozi
Ila kusema ukweli Rais Magufuli anapendwa sana jamani
Yani hiyo ndio mifano ya uwepo wa ukabila tz?Una uhakika Tanzania hakuna ukabila? Angalia jpma alivyojaza wasukuma serikalini CDF, mkurugenzi wa pccb, doto James na mawazili kibao
Mkuu hizi siasa zetu hapa bongo ni za ubaguzi, chuki na ukatili. Kama huna jadi ya CCM wewe huna haki hata ya kuvuta hewa kwenye nchi yako uliyozaliwa! Ni bora hayo ya kenya kuliko hii Neo apartheid ya hapa BongoSiasa za Kenya ni za ubaguzi wa kikabila.
Kenya wapambane kwanza waondoe hili kabla ya wao kukosoa wengine.
Unaweza kutaja hayo uliyosema kwa mifano?Kweli magufuli anapendwa hadharani lakini katika mioyo ya watu anaechukiwa Sana
Ameua wengi sana
Amefilisi wengi sana
Amebambikiza kesi wengi
Amekula hela za rambirambi za wahanga wengi
Mbinafsi aliejenga kiwanja cha kimataifa kijijini kwao
Tangu aingie madarakani Tanzania imeshikilia watuhumiwa wa ugaidi kuliko Afghanistan
Tundu lissu kapigwa risasi kakataa asipewe hela ya matibabu hata walioenda kumuona aliwakasirikia huo ni ukatili wa hali ya juu
Mzee Mwinyi alienda kumuangalia lissu hospital i Mara mbili na akampa pesa kidogo
Mzee Mwinyi akasema ubinadamu Ndio umefanya aende kumuona na kama kuna mtu kakasirika pole
Anapendwa Sana pombe!!
Kwa kigezo gani??
Mbona ndo rais pekee Afrika anaelindwa Sana
Je wajua mzee mwinyi katawala Mika 10 lakini mpaka sasa anakaa kijuweni anakunywa kahawa bila mlinzi?
CCM hawapendi kusikia haya. Wataanza kuwashambulia Wakenya kwa kueleza ukweli.
CCM hawapendi kusikia haya. Wataanza kuwashambulia Wakenya kwa kueleza ukweli.
Kabisa haiingii akilini haya mambo embu watanzania tupinge jambo hili kwa nguvu zote huwezi kutegemea upinzani ushinde hata siku moja.Hawa ni wachambuzi wa kisasa nchini Kenya wakishangazwa na namna Tanzania ilipo bado kwenye ukoloni japo ni wa watu weusi.
Makamanda uchwara ni malofa.Ndiyo mjue kuwa huwa hamna hoja upande huo. Zaidi ni kubebwa na vyombo vya dola na vya maamuzi
Ukweli huwa hauangalii kama anayeutoa ni fasiqi au ni laa!Siasa za Kenya ni za ubaguzi wa kikabila.
Kenya wapambane kwanza waondoe hili kabla ya wao kukosoa wengine.