Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 25,874
- 36,030
Huna akili!Wakiambiwa wenye akili timamu watoke mbele nawe utatoka,mada inasema nini na wewe unajadili nini,jamaa wameongea ukweli mtupu sasa wewe mlumumba unavuruga mada
Kenya haina cha kujivunia mpaka inakosoa ya tz!
Wangekuwa na akili wangeanza kukosoa ya ukabila nchini mwao kwanza