Mchina sio mkombozi mkuu. Mkombozi winga.Acha ujinga dogo.
Yaani unadhani Wachina wako hapa kuja kukurahisishia wewe maisha?
Kwanini hawataki kuanzisha VIWANDA kama wanawapendeni kweli.
Watu weusi ndo maana mlitawaliwa. Mnapenda mambo laini laini sana!
Eti ni "wakombozi"
Hahahaha!
Kawaida sana...
Japan ni nchi iliyoendelea lakini maduka ya namna hii yapo Kila mtaa...
Cc: Mahondaw
Katika ujumbe mzuri niliouona na kusoma leo ni huu. Hongera kwa kuwa na vision.Ni hivi: Wachina watakuja kufanya nchi isitawalike. Unajua ni wengi hawaoni hili lakini madhara yatakuja kuwapata raia wote, wenye fedha, viongozi na mafukara. Hili jeshi la vijana wasio na kazi ambalo CCM inalijenga litakuja kuisambaratisha nchi.
Sawa limeisha hilo siku zote SINA BAYA.safi sana tajiri,, pasaka hakuna kutoka na uso unameremeta mafuta kama nyama ya kitimot😁😁😁
Hivi hata kuna uhusiano / communication kati ya fikra zako na unachoandika ? Mimi nimekwambia laumu sheria inapovunjwa na sio watu kuuza vitu kwa bei nafuu; Hakuna kosa la mtu kuuza vitu kwa bei ndogo au hata kutoa nyongeza hilo sio kosa na kama unataka kujua wanapataje faida ndio nimekwambia niulize nikupe business models za watu....Kwamba kuuza mitumba ni huduma ambazo serikali na taasisi zimeshindwa kutoa?
Kabla ya hao Wachina kuja Watanzania tulikuwa tunatembea bila nguo na wanawake walikuwa hawavai urembo?
Ni huduma zipi kati ya ZINAZOLALAMIKIWA ambazo wachina wanatoa sisi tunashindwa kuzitoa?
Unaweka mamifano ya Whatsap sijui telecommunications mifano tofauti kabisa.
Wachina wanamiliki Startimes, Tekno, Infinix etc lini umesikia wabongo wanalalamika? Kinacholalamikiwa hapa ni Wachina kufanya kazi za Uchuuzi.
Mawinga wameshapaniki. Hapo si ajabu kaona bidhaa ambayo huwa anawapiga Wabongo wenzie 20K huko Kariakoo Mchina anaisukuma hapo kwa 3K. Povu kama lote yaani! 😂Mawinga mmepagawa😅
Sina baya na Wachina mimi kabisa mimi nina baya na Wabongo wanaotuibia yaan wanaotupiga mbongo unajua sio kabisa just imagine kapata chimbo km hilo la 3000 anachukua kidude cha 3000 huko anaenda kumkanda mbongo mwenzie 30,000 kitu kimoja cha 3000 tu anapata faida 27,000 na hapo mbongo anajiona amewin balaa yaan anapiga hesabu akipata watu km huyo 1000 mpaka 10,000 au 100,000 ndani ya mwaka kashaporomosha mjengo Goba, sasa hawa mimi ndio nawaona wabaya sio Wachina Wachina wana nia njema na sisi ila sisi kwa sisi ndio tuna nia mbaya ya kuumizana wenyewe kwa wenyewe sio kusaidiana na mbaya zaidi wengi hua wanayaficha maeneo km haya ila huyo mchina wa Mikocheni kashtukia Chezo kaamua atangaze wazee wa Machimbo hii wamechukia kweli kweli kwanini huyu Mchina kalitangaza hili chimbo wale Wachina wenye machimbo yao mengine ya kila takataka unazotaka wakitangaza tu machimbo yao ya bei rahisi tena yapo kibaaaaao hapa bongo namaanisha kibaaao bei rahisi ila wabongo wameyaficha wanafanya kupata faida sasa Wachina wenyewe wakiamua kuyatangaza utasikia milio ya Wabongo Wabongo watalia sana sababu ya roho mbaya kupiga wenzao tuNani kakwambia wanauza vibanio vya nywele tu humo ndani. Wanauza vitu vingi sana humo ambavyo value yake sio 3000
But still, haimake sense kuanzisha hiyo store Mikocheni.
Wakuu,
Kuna hili duka la Wachina hapo Mikocheni pembeni ya Clouds linaitwa Citistore.
Hili duka ni la ajabu sana. Yaani kila kitu humo ndani kinauzwa 3000.
Yaani chochote, kuanzia accesories za wanawake, make ups na masuala ya urembo, stationeries na kila kitu humo ni 3000 tu. Ukipita hapo muda wote wanawake wanapanga foleni kwenda kununua bidhaa humo
Nimejiuliza sana. Wote tunajua kupata frame au eneo la biashara Mikocheni ni expensive sana. Wafanyabiashara wetu wengi wa kibongo wanapaepuka Mikocheni kwa sababu ni ghali sana kupata frame huko. Frame zetu nyingi Bongo ziko Mwenge na maeneo wanaoishi watu yaani residential areas kama huko Sinza, Ubungo na maeneo mengine
Inawezekanaje hawa Wachina, wachukue sio frame tu bali ni upande mmoja floor nzima in the heart of Mikocheni alafu wauze kila kitu 3,000. Wanapataje faida?
Hapo nimeongelea gharama za kodi ya eneo la biashara , sijazungumzia kulipa watu mishahara, kodi ya serikali, umeme na maintenance ya biashara. Wachina wanawezaje?
Wanapewa misaada ya kodi ya bandarini? Wanachukua vitu bure huko viwandani au ni mbinu gani inatumika mpaka wanaaanzisha store kubwa kama hii alafu wanauza chochote 3,000?
Mna uhakika hawa hawana plan ya ku-take over supply chain yetu yote? Huu sio mpango mkakati wa serikali ya China?
View attachment 3303936
ni fursa ya biashara hiyo, Acha mawazo ya kimasikini.. au unaendaga China nini?😅😅😅
Isijekuwa wanauza bwimbwiWakuu,
Kuna hili duka la Wachina hapo Mikocheni pembeni ya Clouds linaitwa Citistore.
Hili duka ni la ajabu sana. Yaani kila kitu humo ndani kinauzwa 3000.
Yaani chochote, kuanzia accesories za wanawake, make ups na masuala ya urembo, stationeries na kila kitu humo ni 3000 tu. Ukipita hapo muda wote wanawake wanapanga foleni kwenda kununua bidhaa humo
Nimejiuliza sana. Wote tunajua kupata frame au eneo la biashara Mikocheni ni expensive sana. Wafanyabiashara wetu wengi wa kibongo wanapaepuka Mikocheni kwa sababu ni ghali sana kupata frame huko. Frame zetu nyingi Bongo ziko Mwenge na maeneo wanaoishi watu yaani residential areas kama huko Sinza, Ubungo na maeneo mengine
Inawezekanaje hawa Wachina, wachukue sio frame tu bali ni upande mmoja floor nzima in the heart of Mikocheni alafu wauze kila kitu 3,000. Wanapataje faida?
Hapo nimeongelea gharama za kodi ya eneo la biashara , sijazungumzia kulipa watu mishahara, kodi ya serikali, umeme na maintenance ya biashara. Wachina wanawezaje?
Wanapewa misaada ya kodi ya bandarini? Wanachukua vitu bure huko viwandani au ni mbinu gani inatumika mpaka wanaaanzisha store kubwa kama hii alafu wanauza chochote 3,000?
Mna uhakika hawa hawana plan ya ku-take over supply chain yetu yote? Huu sio mpango mkakati wa serikali ya China?
Halafu vyote ama vingi ni plasticVitu vyenyewe umeviona ?
Au umeenda ukakuta bidhaa zinazouzwa
Vibanio vya nywele, glass na chupa za maji ni kitu Cha kulalamika.
Hapa kuna mazaga kibao 3000 kila zaga unalogusa mpaka mswaki ukigusa 3000 dawa ya meno 3000 sabuni 3000 taulo 3000 perfume 3000 chochote unachokigusa ni 3000 hata iwe pin ndogo ukigusa tu bei ni 3000 usiseme fyoko ni 3000 rula imenyooka na vipino vimezingatiwa hutaki nenda kajionee au basi nenda kajinyeeHalafu vyote ama vingi ni plastic
Wabongo Wezi kinomanoma utapelitapeli kutaka kutajirika kwa njia za mkatoWabongo tuna matatizo siungani na anachofanya mchina ila
Kinachotokea leo kwa mchina ni maumivu ya kibiashara yaliyosababishwa na wafanyabiashara wa kibongo
Mbongo kitu cha tshs 10000 atakuuzia sh 50000 nitanunua leo kwako kwa hiyo 50000 ila siku nikijua ukweli hutoniona dukani kwako. Wabongo tubadilike inauma sana umepata pesa kwa shida halafu mbongo mwenzako anakuuzia bidhaa ya sh 10000 kwa sh 50000
Mfano
Mjmi nauza gari langu sh milion 5 nimemwambia dalali nitafutie mteja
Ajabu ni pale unasikia gari unalouza sh milion tano dalali analiuza milioji kumi na mbili na wateja wanaolitaka kwa milioi 5 au 6 anawakataa.
Nyakati zinabadilika tubadilike na turidhike na hicho kidogo tunachokipata
Mbongo anataka akuumize ili urudi akuumize tena ukienda tena urudi akuumize tena sasa siku ukigundua unaibiwa ndio hapo akili inapokurudi kwamba route zote nilikua najipeleka kwa kibaka?Ukienda kwa wageni ni wakweli, mfano bidhaa ile ile na inafafanana kwa kila kitu atakuambia bidhaa hii ni original inauzwa sh 200,000 na hii ni fekiinauzwa 80,000 ili wewe uchague..
Nenda kwa mbongo sasa bidhaa zote anakuambia bei sawa tena wakati mwingine atakuchoreshea ile feki so sad