Of course kwenye modern economics, China ametugeuza Africa kama dumping site yake lakini who is to blame na wakati bado tuna lag behind kwenye indurstrialization kitu ambacho mataifa mengi makubwa walikipitia half a century ago.Hii inaitwa..dumping, mmepigwa, hamjui tu.
Japo wanasaidia kushusha gharama za maisha.....hawa wa kwetu mtu anataka faida hata mara 50 ya bei aliyonunulia huko+kodiNi hivi: Wachina watakuja kufanya nchi isitawalike. Unajua ni wengi hawaoni hili lakini madhara yatakuja kuwapata raia wote, wenye fedha, viongozi na mafukara. Hili jeshi la vijana wasio na kazi ambalo CCM inalijenga litakuja kuisambaratisha nchi.
Waungwe mkono hao wachina wanatu faa mbona kuna waarabu waislamu wameingizwa muhimbili watu mlikuwa mna sifia sasa hao wachina wanao jitafutia kwa kutufanyia wepesi wa maisha wamekuwa nongwa ambao wameleta mitaji wao wenyewe..? Mbona waarabu wamepewa bandari yetu tuliyo igharimia wenyewe kwa mabilioni ya shilingi bure tena milele daima ..je wale wasudani pale muhimbili nani anaye wagharimia kama siyo serikali ya samia na ccmWakuu,
Kuna hili duka la Wachina hapo Mikocheni pembeni ya Clouds linaitwa Citistore.
Hili duka ni la ajabu sana. Yaani kila kitu humo ndani kinauzwa 3000.
Yaani chochote, kuanzia accesories za wanawake, make ups na masuala ya urembo, stationeries na kila kitu humo ni 3000 tu. Ukipita hapo muda wote wanawake wanapanga foleni kwenda kununua bidhaa humo
Nimejiuliza sana. Wote tunajua kupata frame au eneo la biashara Mikocheni ni expensive sana. Wafanyabiashara wetu wengi wa kibongo wanapaepuka Mikocheni kwa sababu ni ghali sana kupata frame huko. Frame zetu nyingi Bongo ziko Mwenge na maeneo wanaoishi watu yaani residential areas kama huko Sinza, Ubungo na maeneo mengine
Inawezekanaje hawa Wachina, wachukue sio frame tu bali ni upande mmoja floor nzima in the heart of Mikocheni alafu wauze kila kitu 3,000. Wanapataje faida?
Hapo nimeongelea gharama za kodi ya eneo la biashara , sijazungumzia kulipa watu mishahara, kodi ya serikali, umeme na maintenance ya biashara. Wachina wanawezaje?
Wanapewa misaada ya kodi ya bandarini? Wanachukua vitu bure huko viwandani au ni mbinu gani inatumika mpaka wanaaanzisha store kubwa kama hii alafu wanauza chochote 3,000?
Mna uhakika hawa hawana plan ya ku-take over supply chain yetu yote? Huu sio mpango mkakati wa serikali ya China?
Mbona wewooo 😂😁Kasongo mbona wewooo!
Wakizalisha hapa bei si itakwenda juu mkuu kutokana na gharama za umeme, maji, vibali nk vinavyotozwa na serikali. Gharama ya uzalishaji ikiwa juu si watatuuzia bidhaa kwa bei ghali sana.Nadhani Watu tuna miss point ya msingi hapa.Na wengine wanamlaumu Mleta uzi kwamba ana wivu.Kikubwa ni kwamba hilo duka ni la kurahisisha uuzaji wa bidhaa zao wanazozalisha China.Huwezi kukuta kuna bidhaa ya kwetu au kwingine.Ndio kusema hata kama hump kipo cha elfu kumi kitafidiwa na bidhaa nyingine iliyopaswa kuuzwa mia tano au elfu moja, kikubwa kwao ni mauzo yawe mengi.Tatizo hapa ni kuwa bidhaa za aina hiyo hamtokaa mzitengeneze wenyewe kwani wataleta wao maelfu ya makontena.Kama tuna akili timamu hayo si ya kushabikia.Kama wanatupenda basi wangeleta hiyo teknolojia tuzalishe wenyewe . Sisi kujazana hump dukani ni kukuza shira China na kwenu kubaki kuwa Waendesha Bodaboda.
Hivi Skype walilalamika kuhusu WhatsApp kuwa na feature ya call?? Juzi nimeshangaa kuona Viber app bado ipo aisee, hawa walikua na feature ya call free kitambo sanaAu unaonaje tungewashukia na WhatsApp kutoka huduma ya calls na mengineyo bure hivyo kuwanyima faranga kina TTCL...
Uko sahihi. Bongo kama hakuna serikali. Unakuta mijitu imekaa ofisini haitaki kuajiri vijana. Vijana wanajiajiri halafu wanawaleta wachina wachuuze bidhaa ambazo zingeweza kuchuuzwa na vijana wa nchini. Wapumbavu wanaamini ccm inawasaidia kumbe inawakandamiza waendelee kuwa maskini ili wawatawale vizuri.Hawa wana uwezo wa kufanya hivyo kwa sababu wanaleta kwa wingi na kule kwao wananunua viwandani au wengine ndiyo wenye viwanda. Mtanzania hawezi kushindana nao na baada ya miaka kadhaa wauza nguo na bidhaa kutoka China wengi watafunga maduka yao na kubaki maduka makubwa kama hayo. Usisahau pia wachina ni very corrupt hivyo sehemu kama bandarini ni lazima watakuwa wanahonga na kodi kuwa chini. Na kingine: bidhaa wanazouza ni za quality za chini na nyingine zina chemical zinazodhuru. Kwa mfano Ulaya kuna hizi zinazoitwa ''ultra fast fashion'' , nguo zinazotoka China na kuuzwa online kwa bei chini sana, wameanza kuzipiga marufuku au kuziwekea sheria kali.
😁Ataliya mama yake kama anayeMbona wewooo 😂
Nadhani point ya msingi kaipoteza kwenye kulalamikia bei ndogo (kama vile kuna mashindano ya kumkomoa mlaji wa mwisho ) tunasahau kwamba sababu ya huyu mchina kuuza blender au tuseme kibanio kwa elfu tatu mtu huyu anabakia na elfu mbili za kwenda kununua nyanya...Nadhani Watu tuna miss point ya msingi hapa.
China ni mzalishaji wa dunia sio sisi tu bali sehemu zote sababu wamejiposition kuweza kutengeneza bidhaa kwa gharama nafuu kuliko wengine, na hapa kama muuzaji una choice ukiona kuuza maplastiki ya urembo ya kichina hayafai tengeneza mikufu ya shanga ya kimasai na uuze ; Badala ya kungagania kutengeneza vitu ambavyo hatuna comparative advantage labda ifike wakati tujiulize tunaweza kuzalisha nini kwa ubora na sio kuuza ndani tu bali mpaka njeNa wengine wanamlaumu Mleta uzi kwamba ana wivu.Kikubwa ni kwamba hilo duka ni la kurahisisha uuzaji wa bidhaa zao wanazozalisha China.
Je tunaweza kutengeneza cheaper kuliko kununua ? Kumbuka kwamba hapa unaongelea mwananchi asiye na disposable income ni kwamba hizo ukizifanya buku kumi huenda asinunue, sasa ifike wakati tuwaze jinsi ya kumuongezea kipato huyu mwananchi sababu as things stands amepigika, na mchina ni chembe ya matatizo na hata akiondoka tutaendelea kubaki na masikini wasio na vibanio na urembo wa elfu tatu tatu..., Cha kufanya ni complete overhaul ya mfumo mzima; na mpaka dakika hii huyu mchina ni mkombozi wa huyu mbangaizajiHuwezi kukuta kuna bidhaa ya kwetu au kwingine.Ndio kusema hata kama hump kipo cha elfu kumi kitafidiwa na bidhaa nyingine iliyopaswa kuuzwa mia tano au elfu moja, kikubwa kwao ni mauzo yawe mengi.Tatizo hapa ni kuwa bidhaa za aina hiyo hamtokaa mzitengeneze wenyewe kwani wataleta wao maelfu ya makontena.
Kwanini wakupende ? Trade ni Quid Pro Quo, kwahio wataendelea kupata wateja kama tu wanunuzi wanaona value na pili unaweza kusema hivyo vitu vingine kuna watu huko wanatengeneza wakiwa kwenye madorminotry na kulipwa peanuts, it just happen wao ni wachapakazi na wanazinfaya kwa bidii bila kulaumu issue sio teknolojia issue ni vigumu kutengeneza hizo bidhaa as cheap kama wao (sababu wana comperative advatange na economy of scale) that's a fact and wont change anytime soonKama tuna akili timamu hayo si ya kushabikia.Kama wanatupenda basi wangeleta hiyo teknolojia tuzalishe wenyewe . Sisi kujazana hump dukani ni kukuza shira
Hata hizo boda shukuru wahindi na wachina ama sivyo hao boda tungekuwa tunakabana kitaa, hali ni mbaya na kesho yetu ni balaa sababu leo hatujajipanga, tena leo hawa wana nguvu zao vipi kesho wakiwa wazee na hata pensheni hawanaChina na kwenu kubaki kuwa Waendesha Bodaboda.
Pokea hiyooWakuu,
Kuna hili duka la Wachina hapo Mikocheni pembeni ya Clouds linaitwa Citistore.
Hili duka ni la ajabu sana. Yaani kila kitu humo ndani kinauzwa 3000.
Yaani chochote, kuanzia accesories za wanawake, make ups na masuala ya urembo, stationeries na kila kitu humo ni 3000 tu. Ukipita hapo muda wote wanawake wanapanga foleni kwenda kununua bidhaa humo
Nimejiuliza sana. Wote tunajua kupata frame au eneo la biashara Mikocheni ni expensive sana. Wafanyabiashara wetu wengi wa kibongo wanapaepuka Mikocheni kwa sababu ni ghali sana kupata frame huko. Frame zetu nyingi Bongo ziko Mwenge na maeneo wanaoishi watu yaani residential areas kama huko Sinza, Ubungo na maeneo mengine
Inawezekanaje hawa Wachina, wachukue sio frame tu bali ni upande mmoja floor nzima in the heart of Mikocheni alafu wauze kila kitu 3,000. Wanapataje faida?
Hapo nimeongelea gharama za kodi ya eneo la biashara , sijazungumzia kulipa watu mishahara, kodi ya serikali, umeme na maintenance ya biashara. Wachina wanawezaje?
Wanapewa misaada ya kodi ya bandarini? Wanachukua vitu bure huko viwandani au ni mbinu gani inatumika mpaka wanaaanzisha store kubwa kama hii alafu wanauza chochote 3,000?
Mna uhakika hawa hawana plan ya ku-take over supply chain yetu yote? Huu sio mpango mkakati wa serikali ya China?
Niliona dubai maduka ya riyal 20 (tzs 12,000 ) kila nguo, mitas ya deira pale ( ndo kariakoo yao)
Hivi kwani huko china 🇨🇳 hakuna wabongo wanaofanya biashara? Haya malalamiko naona yamezidi