Kuna mazoezi gym ambayo ni kwa ajili ya kila kitu, kujaza, kukata au kumaintain mwili.
Kujaza utatumia chuma pekee, kukata utatumia aerobics sana na chuma kidogo au wastani. Assuming hautumii steroids
Aerobics ni kama hicho wanachofanya hao hapo isipokua hiyo ishu ya hao imekaa kisocial media mno. Old school gym goers aerobics tunachukulia ni mazoezi ya kike.
Ndiyo maana unaona hapo wamejazana wanawake na huyo instructor ambaye anajulikana kua ni shoga.
Anyway, swali la mleta uzi linaonyesha hana ABC za mazoezi ndiyo maana limekua general mno.