Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Kwa muonekano wa huyo aliye kulia kwa supika wewe acha na usije, ila mimi ninakwenda na nitakwenda hata kama mara nane kwa sku.Kama gym kwenywewe mazoezi ndo haya bakini na gym Zenu na mazoezi yenu.
Upo sawa kabisaa. Hii ni hatariiSOUTH AFRICA, NIGERIA & KENYA
HIZO NDIO NCHI TEULE ZA KUJA KUSAMBARATISHA TAMADUNI ZA WEUSI.
HIZO GYM NA MARATHON ZINAWEZA ONEKANA NI UKISASA, KWENDA NA WAKATI.
LAKINI KUNA MENGI NYUMA YAKE
Kilala kheri mkuu. Ukirudi na Linda katoe sadakaKwa muonekano wa huyo aliye kulia kwa supika wewe acha na usije, ila mimi ninakwenda na nitakwenda hata kama mara nane kwa sku.
Mapapai hayoMbona wote nikama kipa katoka golini...ππ
Ndio hao ni WA south. Wanatajwa watu wa Dar maana Kuna mipapai mingi sanaWatu wa mikoani bila kuwataja watu wa Dar muwasho hauwaishi, hapo ni SA.
Yamenichanganya haya mazoezi mbaya zaidi huyo trainer wao pamoja na baadhi ya midume naona kabisa Kuna halufu ya mavi paleKuna mazoezi gym ambayo ni kwa ajili ya kila kitu, kujaza, kukata au kumaintain mwili.
Kujaza utatumia chuma pekee, kukata utatumia aerobics sana na chuma kidogo au wastani. Assuming hautumii steroids
Aerobics ni kama hicho wanachofanya hao hapo isipokua hiyo ishu ya hao imekaa kisocial media mno. Old school gym goers aerobics tunachukulia ni mazoezi ya kike.
Ndiyo maana unaona hapo wamejazana wanawake na huyo instructor ambaye anajulikana kua ni shoga.
Anyway, swali la mleta uzi linaonyesha hana ABC za mazoezi ndiyo maana limekua general mno.
Kwahyo hakuna mbadala wa mazoezi hayo?Tusipofikiria mambo ya ngono yanabaki kuwa mazoezi kama mazoezi mengine unless kuna code maalum ya aina hiyo ya zoezi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]VAR check.Goli halali (Mashoga)
Mambo ya aina za mazoezi sijui mkuu ila nilichokiona ni watu wanaofanya mazoezi ya viungo na sijaona sababu ya kuyaonganisha na ngono unless kuna code maalum ya aina hiyo ya mazoezi.Kwahyo hakuna mbadala wa mazoezi hayo?
Kwakwel waje na majawabu nipo kwenye sintofaumu kubwa hiiWatu wa GYM mkuje mjibu tuhuma hii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haya sawa. Ila Kuna halufu ya mapapai hapoMambo ya aina za mazoezi sijui mkuu ila nilichokiona ni watu wanaofanya mazoezi ya viungo na sijaona sababu ya kuyaonganisha na ngono unless kuna code maalum ya aina hiyo ya mazoezi.
Sio mazoezi yote yakufanya ufanye mwanaume, mengine ni ya kutengeneza mijishepu kwa kina dada.
Wanakujaa, wee subirii.Kwakwel waje na majawabu nipo kwenye sintofaumu kubwa hii
Wewe! 'Kegel exercize', si ni yale mazoezi ya kubana mkojo?Keger exercises
Yanasaidia nnWewe! 'Kegel exercize', si ni yale mazoezi ya kubana mkojo?
ππππ Hatari tupumazoezi ya miguu squat na grute.
iyo style ya kujibinua matako sijui wameitoa wapi!,au labda ndo gym za kisasa zilivyo kubinua matako juu kama gari linamwaga mchanga.