DOKEZO VIDEO: Wazazi angalieni Walimu Shule ya Sekondari Majaliwa

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Hii ni mbaya sana. Ukatili kwa watoto na wanafunzi una athari mbaya sana na za muda mrefu.

HAIFAI, HAIFAI, HAIFAI, HAIFAII!!!!!!!!

Kwanza, kwani ni lazima kila mtu asome au afaulu?

Wasioweza kuendana na shule waondolewe na sio kuumizwa!
Weka vizuri andiko lako mkuu,naona kama kunapoint unataka kusema.
 
Bule kabisa wewe ..If you always thinking the problem is out there that very thought is the problem. Alie record ameleta hapa sio kwa mtu kama wewe usiekuwa na theluth ya huruma,bali kuna watu wenye huruma watafanya kitu kuwasaidia hawa wasioweza kujisaidia..
 
Sasa tunajua kwa nini watoto waliochaguliwa kwenda sekondari hawataki kwenda.
And that other teacher is calmly chatting on the phone all the time it's happening. Inaonyesha kwamba it happens many times.
How would YOU solve this problem? Hawa wakikutana kujadilli haya mambo always wanasema viboko ni lazima,hawa watoto wanavuta bangi.
 
Wazazi wanatoa amri kwa walimu vizuri tu maana ndio mteja .Njoo apa Sinza tower high school kama kuna upuuzi wa fimbo kama izo .mtu anatoa ada m4 unaleta upuuzi ,ni shule za kimaskin ndio kuna upuuzi mwingi
 
Ila sijaelewa mnapambana kuzuia viboko au kiwango cha viboko!
Mi ni muumin wa kiboko!
Wazazi/walezi ndo chanzo cha tatizo lenyewe.
Wanafeli kulea nazo shule zinasajiri watoto wakorofi na watukutu mno bila namna.
Kule shule za private kuna afadhar kwa sabab aina ya tatizo lao ni deko.
Hawa wa uswazi na ndo walioko za serkali ni zao la malezi ya ovyo hadi shule hawataki. Adabu hakuna.
Vitoto hadi vinaona wazazi wanavyobanjuana vinaleta tabia shule.
Vitoto vinajua matusi mazito kama mama na shogake.
Vitoto vinajua kuiba wenzie kama babake.
vitoto vinajua kuchuna kama mamake.
vitoto vinajua kupigana kama wazaz wake.
Kifupi walimu wanapelekewa mali mbovu.
Na walimu wengine ni zao la ubovu huo huo!
Na mwalim ana ukomo wa mbinu za kumfanya mwanafunzi anyooke.
Elimu sio masomo ya darasan tu.
Pasipo na nidham elimu hujitenga.
Tusiangalie suala la viboko kama mbuni anayeficha kichwa tu udongoni.
Mpira urudishwe kwenye jamii.
Turudishe kamati ya wazee wa kimila ngazi ya kitongoji wenye mamlaka ya kuhoji malezi ya flan.
Tujadiri kiwango cha viboko nitaelewa.
 
Mbona anampapasa!!!huyo sioni hata hizo fimbo zikiacha alama ktk ngozi.

Ndio maana zinafika 20 mwanamfunzi bado kalala tu hapo chini,acheni ufala hakuna fimbo hapo.
 
kama magufli angekuwpo lazima huyo angepewa ukuu wa mkoa

Hawa watoto wenu mnaowadekeza mpaka wanaanza kukazwa umri huo na ni wa kiume,sababu ni kuwaaminisha kwamba wanaweza kujiongoza.
 
Walimu wanafki nafiki sana, walishindwa nini kumzuia huyo Mwalimu mwenzao anayepiga?
 
1. Matokeo ya kuajiri failures, watu wenye stress zao tayari...

2. Ukosefu wa mamlaka za uwajibishaji tangia ngazi ya chini, waalimu kama hao wanaomwaga viboko iliopaswa kuwe na mamlaka ya kuwawajibisha tokea ngazi ya shule...

Vyuoni wako wahadhiri waliofaulu,hakuna fimbo ila kuna fimbo za ngozi,kuna kufelishana makusudi nk.

Wacheni kuisingizia elimu kila wakati na mmeshindwa kuipa majikumu iwasaidie mliyo nayo.
 

Waalimu wangu wanalaumiwa kwa uchungu wanaokuwa nao kwa wadogo zao wanaoletewa wawaleee.

Mimi nimesoma sekondari,kuna watu walikuwa wana upuuzi mpaka wewe mwenzake unakasirika sembuse mwalimu!!!huyu mwalimu hata hajui kuchapa napapasa.

Kizazi cha KATAA NDOA ndicho hiki kinapiga makelel kisa hutu tufimbo.
 
Baadhi ya walimu hawajitambui .kwanini wanachomeana utambi?
Kuna walimu wana tabia za ki snitch. Maisha yao miaka nenda ni kuwaharibia tu wenzao kwa kuwachongelezea kwa wakuu wao wa shule, ili wapate upendeleo!

Kurekodi upuuzi kama huo wa walimu kuchapa viboko, na kuweka kwenye mitandao ya kijamii, nk. Na mara nyingi watu wa aina hiyo, hata maisha yao ya kila siku huwa ni magumu sana.
 
Hizo hazinaga lengo la kuwaharibia walimu wenzao hua wanatumiana kwenye group lao walimu sasa bahati mbaya kusambaziana mwisho zinafika huku



Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
H
Walimu mnashindwaje kutoa product moja matata sana isijesahulika na taifa yani hamchapi wala hamtukani wala kukemea yani hamjali kwa chochote tupate majinga, malaya, majizi ya taifa kwa awamu moja tu flani iv special
Hao panya road unadhani wametokea wapi?
 
Sio walimu tuu hiyo ni Tabia ya binadamu fulan

Wapo kila kona wao ni kutengenez mazingra mabovu kwa wengine ili waharbikiwe
 
Na viboko vikifutwa nakwambia kitakachokuja kutokea wazazi na Taifa hawataamini. Sasa hivi hakuna wanafunzi Tanzania wenye nidhamu bila mjaledi. Tunapata taarifa huko mashuleni hali ni mbaya ndio maana Walimu nao wamekuwa hawajizuii kwa hasira. Pole sana Walimu utii kwa Mwalimu uliisha enzi zetu, kwa sasa mmmmmm.

Nanyi Walimu mna shida gani mbona Kila siku ni nyie tu kwa nini hamkomi au mkiacha wafanye wanachotaka mtapungukiwa nguvu za kiume au mishahara yenu itapunguzwa. Waacheni wamalize waje huku uraiani wanyooshwe,
 
Hizo hazinaga lengo la kuwaharibia walimu wenzao hua wanatumiana kwenye group lao walimu sasa bahati mbaya kusambaziana mwisho zinafika huku



Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Unapata wapi muda wa kurekodi na kurusha kwenye group? Kama adhabu sio stahiki Kwa nini usiingilie kati ukamtuliza Mwalimu mwenzao! Kuna muda watoto wanakera mtu anaweza kushindwa kuzuia temper, hao wa pembeni walitakiwa kuzuia, ni usnitch tu kurekodi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…