Video ya Mzungu huyu TZ Ina views wengi ndani ya siku moja kuliko royal tour

Hii video ni nzuri sana imeonyesha utamaduni wa tz 100%...in a great way..
 
Viongozi wetu inafikia hatua wanakera unatamani badala uombe mungu akupe mafanikio ila unaomba mungu wafe tu nandio maana liccm likifa kila mtu ni kicheko, hayana utu wala uzarendo wametuficha watanzania chanzo cha pesa za royal tour tunadanganywa eti ni michango ya watanzania na wafanyabiashara [emoji35] mbona hatukuona bakuli linapita tuchange, wa naacha watu potential kama huyu mzungu kwenye hii video wanaokota watu wa hovyo kisa tu ni skilled. Utalii inatakiwa atangaze mtu popular maana atafikia wengi sio professional ambae hata watu kumi hawamjui.
 
Nimeiangalia iko vizuri sana,japo yeye kadili na kabila moja tu wazigua,hasa kwenye tamaduni yao ya kucheza na nyoka na chakula kwa ujumla.
 
Mkuu uwe unamalizaga kusoma uzi wote uelewe maana hili naona ni tatizo lako kubwa mara nyingi unasemaga hivhivi kuwa umeishia heading tu halafu unacomment out of topic!! Ungesoma hadi nwisho ungeelewa mleta mada anadhamiria kufikisha ujumbe gani
Huyo hata mkewe amuandai, akifika toa chu pi anaingiza anakojoa analala
 
Kwa kuwa episode za Royal tour phase two zinakuja,tunashauri mapema kwamba watumie watu maarufu wanaojulikana ilimradi gharama ziwe vizuri.
 
Hahaha video imenikumbushia nyumbani uchagani miaka hiyoo, kumbe bado kuna watu wanaishi maisha yale mpaka leo
Maana kijijini nilipotokea hii staili ya kumla mbuzi na kisusia ilishapotea

tamaduni nyingi zilishapotea uchagani, ninapoona hili nafarijika kweli
 
Acha wivu mkuu, hayo ni mambo ya kikie, unless wewe ni ke
 
Mr. Sonny, jamaa ni food expert anazunguka sana duniani huyu jamaa halafu sio muoga kabisa
 
Huyo mchaga sijui wa wapi ila kajitahidi kudumisha tamaduni aisee...

Mimi mchaga ila kijijini kwetu hivyo vyakula havipikwi tena kivile, sijuji mbuzi na kisusio, kitololo, kuna hayo makweme pia hapo, vinanikumbushia mbali sana
 
Akili iliotumika kuleta tatizo (CCM) haiwezi tumika kutatua tatizo (CCM)
 
Royo imekwama au hujaona panya road wakituamisha kutoka huko kwenda kwenye matukio? Yuko wapi Magu???
 
Kama chifu H. hayumo kwenye video hiyo sisi hatutaikubali labda tu ifanyiwe uhariri ili mama awemo, hapo tutakuwa naye.
 
Sasa investment aliyofanya inaleta hay viewers, anavideos nyingi, clear, na amefanya sana Marketing.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…