DocJayGroup
JF-Expert Member
- Jan 17, 2020
- 1,654
- 3,346
Tatizo wabongo kama bashite wakipata cheo.. wengine wote ni mafiii. Inatakiwa ujue cheo ni dhamana.. na sio ukitumie kunyanyasa watu na kuwadharau kama huyu mbwa bashite alivyofanya.. hata walimu waliomzidi elimu aliwahi kuwaambia "nitawachapa kama watoto wadogo." Shinzi zake kabisaTatizo wabongo wengi tumezoea kuwapa watu heshima kwa vyeo, muonekano, hali ya maisha mfano tajiri, elimu nk.
Kwahiyo mtu akiwa hana hivyo vitu au hali tunamchukulia kawaida sana. Hili ni tatizo!