Video ya Paul Makonda msibani kwa baba yake GSM yazua gumzo jijini Dar

Video ya Paul Makonda msibani kwa baba yake GSM yazua gumzo jijini Dar

Wajeda walienda kwa zumaridi na samasi mbaya zaidi wakamtembezea na kichapo, ngoja tuone
Huyu mtandika kitanda wa mwenyekiti ni wa hovyo Sana. Toka gaidi waweke ndani anafuatilia mambo yasiyomhusu, nyumbu hovyo kabisa.
 
Tatizo wabongo wengi tumezoea kuwapa watu heshima kwa vyeo, muonekano, hali ya maisha mfano tajiri, elimu nk.
Kwahiyo mtu akiwa hana hivyo vitu au hali tunamchukulia kawaida sana. Hili ni tatizo!
Na ndio inatakiwa iwe hivo huwez kuwa huna impact anywhere ukapewa heshima nooop....
 
Endelea kuota ndoto tu.. anahaha maisha ile mbaya.. V8 hakuna sasa anapanda toyo tu mchana na usiku
Wewe ni mpuuzi wa kupuuzwa, life ya Makonda ni high na anatembea na bodyguard.

Mtahangaika sana nyinyi vicoba wa wauza unga.
Shikuba wenu ananyea ndoo kule kwa Biden.
 
Ila jamani nyie ! usiombee watu wakupuuze aiseee !! yaani Makonda ameshiriki msiba utadhani kaingia Dar jana kutoka Kolomije , yaani watu hata kumpa salamu hakuna kabisa ! hii si sawa kabisa , Ama kweli Cheo ni kama koti la kuazima .

Nadhani sasai ile karatasi ya kuitwa Mahakamani amekwishakabidhiwa

Tutajitahidi kupandisha video ili mjionee wenyewe , Noma sana !
Nasubiri video
 
JF kwiiisha habari yake! Uduruthi mtupuu unaoendelea sasa hivi!!
Acha unyau eboo
Kwani umelazimishwa Kuja Humu,wewe mambo Gani ya maana umewahi leta Humu ya kujenga zaidi ya mapambio ya ki MAGAMBA
Anyway hiyo ni kutoka kijiwe Cha kahawa na Alkasus
Ikiuma chomoa!
😁😁😁🔥🔥
 
Hebu decrypt hii
Acha fikra mbaya wewe Mzee,
Nyie Ndio wale wazee wa hovyo hovyo kujifanya Ndio mnajua kutafsiri code ki Bakita Bakita!

C'mon man haifutwi imepita hiyo ikiuma chomoa!
Anyway
(Joking broo)
😁😁😁🔥
 
Back
Top Bottom