Video ya Paul Makonda msibani kwa baba yake GSM yazua gumzo jijini Dar

Video ya Paul Makonda msibani kwa baba yake GSM yazua gumzo jijini Dar

Ila jamani nyie ! usiombee watu wakupuuze aiseee !! yaani Makonda ameshiriki msiba utadhani kaingia Dar jana kutoka Kolomije , yaani watu hata kumpa salamu hakuna kabisa ! hii si sawa kabisa , Ama kweli Cheo ni kama koti la kuazima .

Nadhani sasai ile karatasi ya kuitwa Mahakamani amekwishakabidhiwa

Tutajitahidi kupandisha video ili mjionee wenyewe , Noma sana !
Mediocre
 
Acha unyau eboo
Kwani umelazimishwa Kuja Humu,wewe mambo Gani ya maana umewahi leta Humu ya kujenga zaidi ya mapambio ya ki MAGAMBA
Anyway hiyo ni kutoka kijiwe Cha kahawa na Alkasus
Ikiuma chomoa!
😁😁😁🔥🔥
Ulichokifanya hapa ni kuthibitisha tu nilichokisema; uduruthi mtupu!!
 
Ulichokifanya hapa ni kuthibitisha tu nilichokisema; uduruthi mtupu!!
Wewe Ndio wale Aina ya Wazee wanaojionaga ni maginious Sana Huku mmezeeka na viinua mgongo vya kukitumikia Chama Cha Mboga mboga
Chenye head office pale Lumumba
Kafie Kolomije!
😁😁😁😁🔥🔥
 
Duuu inaonekana wewe ni mzee wa busara Sana mpaka humjui rikiboy kijana Mmoja mwenye idea kubwa Sana na ana miliki kiwanda humu JF Cha uchambuzi na uchakataji Papuchi
Una miaka mingapi Mzee baba?
Tuanzie hapo!
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji91][emoji91][emoji91]
Nashukuru kijana wangu
Huu uzee unanifanya nipitwe na vingi
Mwaka huu mwez wa tano nafikisha 64 kamili
 
Ila jamani nyie ! usiombee watu wakupuuze aiseee !! yaani Makonda ameshiriki msiba utadhani kaingia Dar jana kutoka Kolomije , yaani watu hata kumpa salamu hakuna kabisa ! hii si sawa kabisa , Ama kweli Cheo ni kama koti la kuazima .

Nadhani sasai ile karatasi ya kuitwa Mahakamani amekwishakabidhiwa

Tutajitahidi kupandisha video ili mjionee wenyewe , Noma sana !
Alikula Sana pesa za GSM kwa mgongo wa madaraka ya magufuli,gsm hakuwa na option ilibidi awe lofa kwa huyo maskini mtakaka pesa kupitia mamlaka kwa mgongo wa magu
 
Nashukuru kijana wangu
Huu uzee unanifanya nipitwe na vingi
Mwaka huu mwez wa tano nafikisha 64 kamili
daaa aisee Babu umekula chumvi kimtindo Mimi Kwako ni mjuu kabisa,
Ila kumhusu Huyo rikiboy tuachana nae maana ukienda kusoma mbinu anazotumia yeye na watu wake kupata malighafi ya kiwanda chake Cha uchakataji Papuchi na Mbususu utaweza uingiwe na tamaa na wewe ukafanya practical Mwishowe ukafa unapambania kombe na vijana,
Tulia ulee wajukuu nakutakia uzee mwema wenye Baraka Ndani yake,
Asante!
 
Tatizo wabongo wengi tumezoea kuwapa watu heshima kwa vyeo, muonekano, hali ya maisha mfano tajiri, elimu nk.
Kwahiyo mtu akiwa hana hivyo vitu au hali tunamchukulia kawaida sana. Hili ni tatizo!
Asa huna ela, huna wadhifa nan akuheshimu? Labda mke na watoto wako
 
Duu bibi shikamoo,kitambo umepotea Leo Ndio nakuona umeibukia hapa
Hua tunakukumbuka Sana hasa Kwa sisi ambao tunapenda kujifunza miandiko,
Kuna vijana wa hovyo hovyo hua wanaharibu Lugha yetu adhimu
Ukiwa kama Bi kifimbo cheza hua tunathamini uwepo wako!
Karibu!
mla kitimoto kishaondoka sasa wanarudi
 
Mnyororo ni hatari sana mkuu
Uhatari wake bado sikuuona nilipopotelea. Pengine nilikuwa eneo lisilohusika!

Kidogo niliingiwa na hofu kwamba juhudi zenu zinafifia..., lakini inawezekana sikuangalia vizuri. Nipo tayari kushuhudia na kupokea "uhatari" unaousema hapa, kama kutazama kwangu hakukuwa sahihi.
 
Back
Top Bottom