Video ya Paul Makonda msibani kwa baba yake GSM yazua gumzo jijini Dar

Video ya Paul Makonda msibani kwa baba yake GSM yazua gumzo jijini Dar

Uhatari wake bado sikuuona nilipopotelea. Pengine nilikuwa eneo lisilohusika!

Kidogo niliingiwa na hofu kwamba juhudi zenu zinafifia..., lakini inawezekana sikuangalia vizuri. Nipo tayari kushuhudia na kupokea "uhatari" unaousema hapa, kama kutazama kwangu hakukuwa sahihi.
Wanachama zaidi ya milioni 12 kama data za Chadema Digital zinavyoonyesha , kila mmoja atoe elfu 1 tu , au hata robo yake tu watoe elfu 3 huoni hili ni balaa !

Nakung'ata sikio , zaidi ya wanachama nusu wa Chadema wamechangia angalau zaidi ya elfu 7 kila mmoja kwenye Join the Chain , hesabu nakuachia wewe mwenyewe , maana taarifa zako za ukali wa hesabu nimedokezwa na anayekufahamu
 
Wanachama zaidi ya milioni 12 kama data za Chadema Digital zinavyoonyesha , kila mmoja atoe elfu 1 tu , au hata robo yake tu watoe elfu 3 huoni hili ni balaa !

Nakung'ata sikio , zaidi ya wanachama nusu wa Chadema wamechangia angalau zaidi ya elfu 7 kila mmoja kwenye Join the Chain , hesabu nakuachia wewe mwenyewe , maana taarifa zako za ukali wa hesabu nimedokezwa na anayekufahamu
EeeeHeee, Erythro, hizi propaganda waachie warithi wa Kingunge, au wanaojifanya warithi kama akina 'Johnthebabtist'.

Mwisho wa siku ni matokeo tu basi, ndiyo yanayotafutwa. Kama hata Hengaya mtamshindwa safari hii litakalobakia ni kuachana na siasa kabisa.

Hapajawahi kuwepo na fursa kama ilivyo wakati huu.
 
Ila huyu alitesa sana enzi zake, nasikia alikuwa fisadi first class na wengi waliumizwa, kauli yake ilikuwa sheria na hakuna wa kuhoji, legacy ya JPM inanichanganya nikifikiria huyu buyu na Sabaya
 
Makonda hayupo wa kumkamata so sad
Mashitaka ya Makonda siyo ya kukamatwa bwanshee. Ndiyo maana anapelekewa wito wa mahakama yeye kama yeye. Ingekuwa ni ya kukamatwa ingetolewa kitu inaitwa arrest warrant na ingekuwa addresses kwa polisi. Hivyo polisi wangekuwa na wajibu wa kumkamata. Usikurupuke kulaumu ujinga.
 
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, ni miongoni mwa watu maarufu walioshiriki katika mazishi ya baba mzazi wa mmiliki wa Kampuni ya GSM, Ghalib.

Makonda alijitokeza katika Msikiti wa Maamur Upanga, jana Machi Mosi, 2022 ambapo ndipo mwili wa baba wa GSM uliposwaliwa.


Marehemu alizikwa jana hiyohiyo katika Makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam.

Kusambaa kwa video hiyo kumesababisha gumzo mitandaoni ambapo watu wengi wametoa maoni hasa kwa kuwa Makonda anaonekana akiwa kama raia wa kawaida bila kuwa na walinzi wala msafara kama ilivyokuwa zamani!


Source: Global TV
 
Ndio ukweli wenyewe huo kibibi cha kiarabu nasikia hachagui , mpaka vitoto vya kike anarambita.. mdomo komaaaa..!
yeeeeeee at Nini aaaa wewe Hii Kali mkuu analambita Hadi Papuchie daaa ama wakojani wameshindikana
Ila sishangai kule Ndio michezo Yao si wamama,vitoto mpaka vizee vyao
Hovyo sana wale watu!
 
daaa aisee Babu umekula chumvi kimtindo Mimi Kwako ni mjuu kabisa,
Ila kumhusu Huyo rikiboy tuachana nae maana ukienda kusoma mbinu anazotumia yeye na watu wake kupata malighafi ya kiwanda chake Cha uchakataji Papuchi na Mbususu utaweza uingiwe na tamaa na wewe ukafanya practical Mwishowe ukafa unapambania kombe na vijana,
Tulia ulee wajukuu nakutakia uzee mwema wenye Baraka Ndani yake,
Asante!
Asante Sana kijana wangu
 
Ila jamani nyie ! usiombee watu wakupuuze aiseee !! yaani Makonda ameshiriki msiba utadhani kaingia Dar jana kutoka Kolomije , yaani watu hata kumpa salamu hakuna kabisa ! hii si sawa kabisa , Ama kweli Cheo ni kama koti la kuazima...
Makonda na Ndugai wanatakiwa wawe magereza kitambo sn
 
Mtu mwenye akili ndogo, akipewa cheo, matokeo yake ni kama haya. Hata ipite miaka mingapi, kuna siku haki ya aliowaua itasimama. Mungu wetu, muweza wa yote, uovu wa mtu huyu, hasa mauaji, tunaendelea kukuomba, ukawekwe wazi, na awajibike nao.
Kweli tupu ni zero brain
 
Tatizo wabongo wengi tumezoea kuwapa watu heshima kwa vyeo, muonekano, hali ya maisha mfano tajiri, elimu nk.
Kwahiyo mtu akiwa hana hivyo vitu au hali tunamchukulia kawaida sana. Hili ni tatizo!
Ukijiheshimu tutakuheshimu tu hakuna namna lakini ukileta dharau tutakudharau, kwani Makonda ni mkuu wa mkoa wa kwanza Tanzania?
 
Back
Top Bottom