Video ya Paul Makonda msibani kwa baba yake GSM yazua gumzo jijini Dar

Paul Makonda ndani ya msiba wa matajiri wenzie.

Kitu kizuri kwa Makonda pamoja na mambo yake yote, alikuwa na urafiki na watoto wa mjini hapo Dar, hawezi kuadhirika, Watoto wa mjini huwa hawatupani, lingine wengi msilolijua jamaa ni recruited mahala na he was official assigned some tasks from the main office.
 
Akutukanaye hakuchagulii Tusi; Mtamtukana sana Chief Hangaya!! Kumbuka tu kuwa unapotukana unawatukanisha wazazi wako!!

Unawashwa sana Mkuu,, nimetukana wapi hapo.. "Chifu hangaya Grandson".. hii sentensi ina tusi lipi..??

Mkuu mahaba yako kwa mwenyekiti wako, tafadhali yasizidi uwezo wa Akili yako.

Wewe ukimpenda kiasi hiko inatosha,, usitake kila mtu amuone kama unavomuona wewe.. na hakuna aliyemtukana Mama..

Jitahidi kupunguza hio miwasho,, na usipoelewa uwe unauliza...

--sio kwa ubaya--
 
So msilalamike watu wanapong'ang'ania huko juu hata kwa kutumia hujuma maana wanaogopa wakishuka chini watadharauliwa !!
Na ndio inatakiwa iwe hivo huwez kuwa huna impact anywhere ukapewa heshima nooop....
 
Kwa akili za namna hiyo CCM itatawala miaka mia ijayo maana wao ndio wanavyo vyote ulivyovitaja na vingine ambavyo umevisahau !! Very sad !!
Asa huna ela, huna wadhifa nan akuheshimu? Labda mke na watoto wako
 
Unawashwa sana Mkuu,, nimetukana wapi hapo.. "Chifu hangaya Grandson".. hii sentensi ina tusi lipi..??

Mkuu mahaba yako kwa mwenyekiti wako, tafadhali yasizidi uwezo wa Akili yako.

Wewe ukimpenda kiasi hiko inatosha,, usitake kila mtu amuone kama unavomuona wewe.. na hakuna aliyemtukana Mama..

Jitahidi kupunguza hio miwasho,, na usipoelewa uwe unauliza...

--sio kwa ubaya--

Tafadhari rejea thread #101 utaona kuwa matusi yako ni laana yako!!
 
Hio thread #101 inahusiana vipi na mimi..???? Quote comment ambapo nimetukana acha porojo

Hio tabia unayoleta ndio huwa hatua za mwisho kabisa mtu hupitia kabla hajawa Mchawi kamili...

Laana sio rhumba,, kwamba inakuja kuja tu...

Relax na usikilize mawazo ya watu wengine...
 
Wewe mse...ge ebu rudi uangalie thread yako #99 uangalie uharo ulioandika pale kama hivyo ndivyo ulivyolelewa na wazazi wako! Kumwita Makonda grandson maana yake nini? Acheni kejeli zenu huyo grandson wa nani mbuzi we!
 
Ila wewe hivyo kuita watu mbuzi, mse..nge ndio wazazi wako walikufundisha hvo....??..na bado unaamini Laana ina exist.

Naona sasa umeanza kujaa upepo,,, twende taratibu utatukana matusi yote na sikuachi... kama umekasirika sana kunya BoGa.

Grandson tokea lini imekuwa tusi...??... Ukishindwa kuonyesha utimamu wako,, basi jitahidi kuficha Upumbavu wako...

Relax, twende taratibu,... mwishoni tutajua nani atalaaniwa....
 
Ili wewe kujua kama GRANDSON ni tusi lako la kinyemela au la, soma mtiririko wa hizo thread mpaka wewe ulipoibuka na kumuita Makonda grandson na hapo ndio utajua kama hilo neno ulilitumia kama sifa au tusi!! Usipotambua mpaka hapo utakuwa unadhihirisha upumbavu wako.
 
Kuwa Open Minded person,, humu kila Comment ipo katika mtiririko wa mawazo tofauti.. hakuna anayefuata mkumbo mkuu kwamba kwasabu comment zina uelekeo huu,, basi kila mtu aende hvo..

Infact comment yangu iliyosomeka Samia Grandson ilimaanisha Mama na makonda ni watu walio karibu (ukizingatia wana picha za pamoja nyingi na wakiwa wamepiga wanafurahi),, so swala la hii kesi kutokana na huo ukaribu wao linaweza lisishughulikiwe.... Hii ndio meaning behind my Comment... Na wachangiaji wote wameelewa hivi,,,

Sasa wewe sijui tusi umeliona wapi hapo???? au una stress za tozo mkuu..?? au ndio unatafuta uteuzi sisiemu???
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]kweli uchawi upo
Ndo maana yake! Unavamia studio usiku saa 6 na askar wenye mitutu,halafu aliyeunda tume kuchunguza uvamizi anatimuliwa kazi na kutishiwa kuuwawa kwa bastora hadharani mchana kweupe.
 
[emoji3][emoji3][emoji3] na wakati mwenzio alishakula mvua 30yrs bado uko mtaani na unashiriki shughuli za kijamii zote pamoja na mahakama kukuwinda
 
Aliyekuwa mkurugenzi wa shirika la kijajusi Marekan( CIA) na badae Waziri wa mambo ya nje wa Marekani alisema wazi wewe ni muuwaji( unanyima watu haki ya kuishi) Bado unadunda tu mtaani.
 
Huyu mtu ndie yule aliyewanyima watu wengine haki yao ya kuishi? Laana na iwe kwake milele!
 
Aliyekuwa mkurugenzi wa shirika la kijajusi Marekan( CIA) na badae Waziri wa mambo ya nje wa Marekani alisema wazi wewe ni muuwaji( unanyima watu haki ya kuishi) Bado unadunda tu mtaani.
Uchawi upo uchawi upo

Niliwahi kusikia dingi alipoingia mjengoni hapakukalika, Ni huyu bwana alimshika mkono kumpeleka 'mahali' ndipo mambo yakatulia

Inasemekana ndio kisa cha uswahiba wao
 
Back
Top Bottom