Video ya Paul Makonda msibani kwa baba yake GSM yazua gumzo jijini Dar

Video ya Paul Makonda msibani kwa baba yake GSM yazua gumzo jijini Dar

Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, ni miongoni mwa watu maarufu walioshiriki katika mazishi ya baba mzazi wa mmiliki wa Kampuni ya GSM, Ghalib.

Makonda alijitokeza katika Msikiti wa Maamur Upanga, jana Machi Mosi, 2022 ambapo ndipo mwili wa baba wa GSM uliposwaliwa.
View attachment 2135933

Marehemu alizikwa jana hiyohiyo katika Makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam.

Kusambaa kwa video hiyo kumesababisha gumzo mitandaoni ambapo watu wengi wametoa maoni hasa kwa kuwa Makonda anaonekana akiwa kama raia wa kawaida bila kuwa na walinzi wala msafara kama ilivyokuwa zamani!

Source: Global TV
Sahivi analindwa na ndumba pekee
 
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, ni miongoni mwa watu maarufu walioshiriki katika mazishi ya baba mzazi wa mmiliki wa Kampuni ya GSM, Ghalib...

Dah! Makonda amenitia huruma Sana. Watu wanakupenda ukiwa na cheo nje ya hapo wanakupita bila hata salamu.Nadhani Kuna somo amejifunza yeye binafsi na ninadhani akipewa madaraka Tena kuna mabadiliko yanaonekana.
 
Kuna sehemu alisimama jukwaani akasema "...kwasababu mimi nimeletwa na Mungu, nakuagiza kuanzia kesho idadi ya traffic barabarani iwe mara kumi zaidi" akapigiwa salute
 
Msibani sio sehemu ya kuuza sura au kushobokewa au watu kukushangilia

Mleta mada vipi?
Ila ukiwa mkuu wa mkoa inakuwa tofauti? Maana ndio zilikuwa zake... Nakumbuka msiba wa Regnald Mengi...
 
So makonda akikamatwa wewe kama wewe unapata faida gani??

Tujaribu kupambania ugali wetu hii nchi ina wenyewe
Akili yako haina akili.
Vijana wa hovyo mnaona Ugali ni muhimu sana.
Bashite lazima afikishwe mahakamani, ameua watu, ameteka watu, amepora wafanya biashara mali na pesa zao.
”Kumpelekea moto ”kibibi cha kiarabu, hakumfanyi asishitakiwe.
 
FB_IMG_16462136534373629.jpg
 
Ila jamani nyie ! usiombee watu wakupuuze aiseee! yaani Makonda ameshiriki msiba utadhani kaingia Dar jana kutoka Kolomije , yaani watu hata kumpa salamu hakuna kabisa! hii si sawa kabisa, Ama kweli Cheo ni kama koti la kuazima .

Nadhani sasai ile karatasi ya kuitwa Mahakamani amekwishakabidhiwa

======

Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, ni miongoni mwa watu maarufu walioshiriki katika mazishi ya baba mzazi wa mmiliki wa Kampuni ya GSM, Ghalib.

Makonda alijitokeza katika Msikiti wa Maamur Upanga, jana Machi Mosi, 2022 ambapo ndipo mwili wa baba wa GSM uliposwaliwa.

Marehemu alizikwa jana hiyohiyo katika Makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam.

Kusambaa kwa video hiyo kumesababisha gumzo mitandaoni ambapo watu wengi wametoa maoni hasa kwa kuwa Makonda anaonekana akiwa kama raia wa kawaida bila kuwa na walinzi wala msafara kama ilivyokuwa zamani!

View attachment 2136035

Source: Global TV
Hili liwe funzo kuwa Cheo ni dhamana na namna gani unapaswa kuweka utu mbele kabla kabla ya dhamana hizi za muda mfupi
 
Bashite kampelekea sana moto mama yao, majaji wanamuogopa kumkamata,mama yao atakasirika au?!
Kibibi cha kiarabu kizinzi mno, kinaramba ramba pia vitoto vya kike.
UNA USHAHIDI??? NYIE SI NDO MLIKUWA MNAMUITA MAKONDA SHOGA!!!????
 
Back
Top Bottom