Video ya Paul Makonda msibani kwa baba yake GSM yazua gumzo jijini Dar

Video ya Paul Makonda msibani kwa baba yake GSM yazua gumzo jijini Dar

Lone dumb wolf, mkuu wa Mkoa wa hovyo kabisa tangu nchi ipate uhuru, anafua nguo za wanaume tu(ana dry cleaner), na amekodi jengo la NHC Morogoro ilipokuwa CRDB
Kwa hiyo unamuonea wivu?

Mwenzio anachakarika kutafuta hela hataki kuwa masikini kama wewe!

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
 
Tatizo wabongo wengi tumezoea kuwapa watu heshima kwa vyeo, muonekano, hali ya maisha mfano tajiri, elimu nk.
Kwahiyo mtu akiwa hana hivyo vitu au hali tunamchukulia kawaida sana. Hili ni tatizo!
Ndio madhara ya umaskini hayo, kuwathamini watu kutokana na vitu badala ya utu
 
Angekuja na ving'ora bado mngesema tena mngesema na kukolezea

kaja kawaida bado pia mmesema yani kiufupi tunasema zis is Tanzania our kantri
 
Hii hapa

Makonda.jpeg
 
Mtangazaji anasema "...amekuja kama mtu wa kawaida kabisa" maneno yana ukakasi🤣😂
 
Niliwaambiaa watu humu, bashite yupo Kama kawaida anaendelea na mishe zake. Kiufupi ni serikali haina nia nae
Analindwa na kukingiwa kifua na Bi tozo

Kapewa wito tayari kupitia wakili wake.
 
Uliwahi kwenda msiba ukapokelewa na vigelegele au watu kukushobokea? Mleta mada hajielewi

Ila kwa video hii tuseme makonda wamemchunia Sana. Watu wanampita tuu Kama hawamfahamu. Nadhani amepata fundisho kubwa Sana kwenye hili.
 
Huyu mtandika kitanda wa mwenyekiti ni wa hovyo Sana. Toka gaidi waweke ndani anafuatilia mambo yasiyomhusu, nyumbu hovyo kabisa.

Hata Makonda alikuwa na kiburi na dharau Kama wewe leo amebaki kujikomba kwa waarabu.
 
Back
Top Bottom