Video ya Paul Makonda msibani kwa baba yake GSM yazua gumzo jijini Dar

Tatizo wabongo wengi tumezoea kuwapa watu heshima kwa vyeo, muonekano, hali ya maisha mfano tajiri, elimu nk.
Kwahiyo mtu akiwa hana hivyo vitu au hali tunamchukulia kawaida sana. Hili ni tatizo!
Tatizo wabongo kama bashite wakipata cheo.. wengine wote ni mafiii. Inatakiwa ujue cheo ni dhamana.. na sio ukitumie kunyanyasa watu na kuwadharau kama huyu mbwa bashite alivyofanya.. hata walimu waliomzidi elimu aliwahi kuwaambia "nitawachapa kama watoto wadogo." Shinzi zake kabisa
 
Niliwaambiaa watu humu, bashite yupo Kama kawaida anaendelea na mishe zake. Kiufupi ni serikali haina nia nae
Analindwa na kukingiwa kifua na Bi tozo
Endelea kuota ndoto tu.. anahaha maisha ile mbaya.. V8 hakuna sasa anapanda toyo tu mchana na usiku
 
Watu wanaogooa kujihusisha na mtu mwovu wasije na wao wakakubwa

si unajua ukiwa na Rafiki mwizi jamii inakuona na wewe Mwizi
 
Sasa unafurahia Nini kwa kuwa hukumsalimia Makonda? Alikwambia ana shida na salaam yako? Acha upuuzi ukimsalimia mbowe inatosha achana na huyo mkolomije.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…