Me nishawai kusikia kua hao ni makini . Na wanasura mbaya sanWakuu!
Mwanzoni niliziona Kama hadithi tuu za kizamani lakini baada ya kuiona video hii mtazamo wangu umeanza kubadilika.
Ingawaje bado sijapata uhakika wa moja Kwa moja kuhusu video hii kama imeghushiwa au laa.
Naomba mwenye utaalamu wa kuipakua video iliyopo Instagram aipakue alafu atuwekee hapa
Link ni hii>>Samaki Mtu " Nguva' Adaiwa kuonekana ufukweni. Zamani ilikuwa hadithi Ila sasa Kama inakuwa kweli See this Instagram video by @:
Inawezekana imeeditiwa kwa maana teknolojia ilipofika ni mbali...
Mtu anaweza kukaa hata masaa Matano kwenye laptop akiedit video ya sekunde 10 kusudi tu apate Reel yenye viewers Milioni 5
Kwa Video editing apps leo hii sishangai nikiona video kama hii na ukaambiwa ni kweli...
Kwa wale wanaotembelea Tiktok watanielewa
Me nishawai kusikia kua hao ni makini . Na wanasura mbaya san
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Ma game changer wako kazini kuzima mchongo wa wese
Mimi nilijuaga ni weupe π€
Hakuna haja ya mtaalam wa It..hiyo ni Editing...yaani hata sura yako inaweza kuwekwa hapo kwenye uso na ukabaki unacheka na kushangaa hata wewe mwenyewe..Wataalamu WA IT watujuze hiyo Video ina-editing au ni tukio la kweli
Em funguka mkuuHao viumbe wapo Sana ila ni nadra Sana kubahatika kumuona
Hakuna haja ya mtaalam wa It..hiyo ni Editing...yaani hata sura yako inaweza kuwekwa hapo kwenye uso na ukabaki unacheka na kushangaa hata wewe mwenyewe..
Inahitaji utulivu tu...
Siku ukiona habari kama hii Aljazeer, CNN, Sky, RT ianzishie na wewe habari.
Ujanja ujanja wa usisahau kulike, kusubscribe na kushare.πππ
Unataka kusema wengine makanjanja
Atakua jamii ya wahindi weusi huyo sio bureIla nywele Kama zimewekwa Dawa
Kuna mtu kaamini uku.Mimi nilijuaga ni weupe [emoji848]