Video: Yadaiwa Samaki Mtu (Nguva) aonekana ufukweni

Na sijajua Kwa nini wamerusha kipande kifupi Sana cha video. Hii itakuwa ni drama tuu
Video zenye utata miaka yote zinakua low quality na fupi. Hata videos za UFO,aliens na hao nguva. Dunia inavitu very interesting sana angalia NAT GEO World utajua.

Viumbe kama hao wangekuapo kweli tungepata uhakika was kitu kinachoeleweka sio Kila siku video Kama hizo,watu wamemzunguka na video imekua fupi hivo kwanini asingechukua Kila kitu,kwanini watu hawaongei?Kwanini mtu mmoja tu ndio ana Simu?
 
Karibu hapa Whitecap bay... Ukiimba kidogo tu wanakuja.
 
sio kwamba ndio yeye ila nimefananisha tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…