Movies za Hollywood mbona wanatengeneza video nzuri kuliko hii habari?Wakuu!
Mwanzoni niliziona Kama hadithi tuu za kizamani lakini baada ya kuiona video hii mtazamo wangu umeanza kubadilika.
Ingawaje bado sijapata uhakika wa moja Kwa moja kuhusu video hii kama imeghushiwa au laa.
View attachment 2179190
You’re full of shit.Wakuu!
Mwanzoni niliziona Kama hadithi tuu za kizamani lakini baada ya kuiona video hii mtazamo wangu umeanza kubadilika.
Ingawaje bado sijapata uhakika wa moja Kwa moja kuhusu video hii kama imeghushiwa au laa.
View attachment 2179190
Movies za Hollywood mbona wanatengeneza video nzuri kuliko hii habari?
Ukiamini hiyo kuna daraja jipya Salenda nakuuzia [emoji1787][emoji1787][emoji1787].Mkuu unataka kusema nini?
Ni janja janja ya Wana Tiktok??
Na ili ujue maswala ya samaki NGUVA ni stories za kufikirika haijawahi hata siku moja akaonekana NGUVA wa KIUME,sikuzote anaonekana wa KIKE TUU..tafakar chukua hatua
Hakuna kitu kama hicho mzeeMkuu unataka kusema nini?
Ni janja janja ya Wana Tiktok??
Ukiamini hiyo kuna daraja jipya Salenda nakuuzia [emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Limejichanganya.. itakuwaKwa hiyo jinni limekamatwa?
Kwa sababu niliwahi kushinda studio, cha kwanza kwenye kitu ninachoona kina kutoeleweka kwa jamii hasa picha au video, huwa nazoom kujiridhisha.Wataalamu WA IT watujuze hiyo Video ina-editing au ni tukio la kweli
i concur with youKwa sababu niliwahi kushinda studio, cha kwanza kwenye kitu ninachoona kina kutoeleweka kwa jamii hasa picha au video, huwa nazoom kujiridhisha.
So kwa hii kitu is just edited sababu pale kiunoni panapogawa viwiliwili kuna walakini huwa mgawanyo auanzi au kuisha kwa mabakabaka alafu kapigwa rangi black as black mamba, wakati tunajua asilimia ya kubwa ya vitu vyenye uhai majini vinatakatishwa na maji, why huyo mdudu awe black hivyo?.