Vifaa vya kuona usiku vya kizazi cha tatu vya Marekani aina ya ENVG-B vinatumika na vikosi maalum vya Ukraine

Vifaa vya kuona usiku vya kizazi cha tatu vya Marekani aina ya ENVG-B vinatumika na vikosi maalum vya Ukraine

dogman360

Senior Member
Joined
Oct 15, 2018
Posts
144
Reaction score
226
20250118_123235.jpg
"AN/PSQ-42 Enhanced Night Vision Binocular (ENVG-B) ni kifaa cha kuona usiku cha kizazi cha tatu (kisichotoa mwanga) kilichoandaliwa kwa ajili ya Jeshi la Marekani. ENVG-B mpya na FWS-Is zinawaruhusu askari kufanya uchunguzi wakati wa operesheni za mchana na usiku, pamoja na uwezo wa kuona kote kona au vikwazo vingine kwa kutumia mfumo mpya wa teknolojia."

Hapa ndugu zangu tusijiulize Sana kwanini urusi inapoteza wanajeshi wengi kuliko Ukraine Issue ni wenzao wako mbele sana
 
Attachments

  • ssstwitter.com_1737194156164.mp4
    9.5 MB
Wakazime MOTO Palestina mungu yupo pamoja nao inafikilisha sana kujua marekani kapeleka matani ya maboom kuangamiza mji wa GAZA mungu mkuu akawapa upepo na MOTO SIKU CHACHE TU umeangamiza msjumba yakifahari ya mabilion ya DOLLAR misikiti imevumjwa mingi GAZA MOTO UMEVUNJA MAKANISA LUKUKI marekani yani unaambiwa kila kitu kilichotokea GAZA uko marekani kimetokea mala 3 yake mungu mkubwa ingekuwa ni upande wa pili awa jehova wange sumbua sana lkn mungu fundi mungu ni mkubwa kimyaaaaa jehova kelele propaganda wenyewe wanajiuliza inawezekanaje!!!
 
View attachment 3205236"AN/PSQ-42 Enhanced Night Vision Binocular (ENVG-B) ni kifaa cha kuona usiku cha kizazi cha tatu (kisichotoa mwanga) kilichoandaliwa kwa ajili ya Jeshi la Marekani. ENVG-B mpya na FWS-Is zinawaruhusu askari kufanya uchunguzi wakati wa operesheni za mchana na usiku, pamoja na uwezo wa kuona kote kona au vikwazo vingine kwa kutumia mfumo mpya wa teknolojia."

Hapa ndugu zangu tusijiulize Sana kwanini urusi inapoteza wanajeshi wengi kuliko Ukraine Issue ni wenzao wako mbele sana
Umeandika kishabiki Sana, lete takwimu zinazoonyesha jeshi la Urusi linapoteza kuliko Ukraine, hiyo technology unayosifia hapa urusi anaitumia toka mwanzon mwa vita
 
Umeandika kishabiki Sana, lete takwimu zinazoonyesha jeshi la Urusi linapoteza kuliko Ukraine, hiyo technology unayosifia hapa urusi anaitumia toka mwanzon mwa vita
Unaushahidi
 
Kawa
Sasa mimi na wewe nani anayeota?

Ukraine mpaka sasa amerudisha eneo gani?

Counteroffensive ipi ya Ukraine mpaka sasa hivi yenye manufaa tangu walipoanza kupigana na Russia?
Kamwambie putin aliyeenda kuomba msaada north korea kwamba umeshasjinda mkuu 😂😂😂
 
Umeandika kishabiki Sana, lete takwimu zinazoonyesha jeshi la Urusi linapoteza kuliko Ukraine, hiyo technology unayosifia hapa urusi anaitumia toka mwanzon mwa vita
Mrusi ana masifa sana tungeshajua kitambo kwamba ipo .unajua kwanini wa northkorea kule kursk wanapukutika .wanakutana na vifaa vya kisasa vya kivita
 
Back
Top Bottom