Akili ndogo sana hii!Kwa akili yako ndogo unadhani Marekani ni taifa la kikristo!Mkiambiwa msome mnakimbilia madrasa.Halafu,dunia nzima inajua kuwa Gaza imechakazwa na Israel na sio Marekani.Sasa kama kweli mungu wako allah ndo kalipa kisasi si angeichoma Tel Aviv?Kaogopa nini?Upigwe na Israel,ukaichome Marekani,akili au matope!Ili tuamini mungu wako ndo kaichoma Los Angeles basi aichome Tel Aviv.Haya tufanye kaichoma mungu wenu;Kama umeona kuna kanisa la SDA limezungukwa na moto lakini halijaungua hata kidogo,Sasa huyo mungu wenu mwenye chuki na wakristo aliache kanisa!!Hilo halipo.Na wewe unalijua hili.Los Angeles imechomwa na MUNGU,lakini sio mungu wenu.YEHOVA ameichoma LOS ANGELES sio kwa sababu ya Gaza.Ingekuwa kwa sababu ya Gaza basi angeichoma TEL AVIV,na asingebakisha kanisa lolote pale Los Angeles.YEHOVA.Ameichoma LOS ANGELES kwa sababu ya kufuru yao.Kama uliangalia Super Stars Event iliyofanyika siku moja kabla ya mlipuko wa moto utaelewa ninachosema.mungu wenu hana uwezo hata wa kuchoma kibanda.Kama unabisha mwambie aichome TEL AVIV sote tutajua ameichoma mungu wenu(kitu ambacho hakitaweza kutokea).YEHOVA hawezi kuruhusu hilo.Anajua akili zenu.Hapo kuna battle Kali kati ya mungu wenu na YEHOVA.Akiruhusu hilo atakuwa amejiondolea utukufu wake.Sina maana Israel ni nchi takatifu no.Hawana utakatifu wowote.Ila kwa sababu anajua akili zenu,analazimika kuilinda ili ibilisi(mungu wenu) asijiinue.Ni hilo tu.Ila mkitubu,mkamkubali YEHOVA na mkaziishi amri zake na Imani ya Yesu,ataiangamiza TEL AVIV.Maana ntakuwa mnamtukuza YEHOVA kwa kuwapigania badala ya mungu wenu,so utukufu utamrudia YEHOVA.Maana Israeli hii ya leo haiiishi Sheria ya MUNGU.Inalindwa kwa sababu YEHOVA anataka kujitukuza mbele yenu tu ili asitukanwe na makafiri.