dogman360
Senior Member
- Oct 15, 2018
- 144
- 226
- Thread starter
- #21
Toa ujinga wako hapa ,kwahio wale watu wakatesh ilivotokea mafuriko wao wana dhambi gani?Wakazime MOTO Palestina mungu yupo pamoja nao inafikilisha sana kujua marekani kapeleka matani ya maboom kuangamiza mji wa GAZA mungu mkuu akawapa upepo na MOTO SIKU CHACHE TU umeangamiza msjumba yakifahari ya mabilion ya DOLLAR misikiti imevumjwa mingi GAZA MOTO UMEVUNJA MAKANISA LUKUKI marekani yani unaambiwa kila kitu kilichotokea GAZA uko marekani kimetokea mala 3 yake mungu mkubwa ingekuwa ni upande wa pili awa jehova wange sumbua sana lkn mungu fundi mungu ni mkubwa kimyaaaaa jehova kelele propaganda wenyewe wanajiuliza inawezekanaje!!!