Kinyungu
JF-Expert Member
- Apr 6, 2008
- 19,484
- 38,416
Kwa hiyo unadhani Russia wao hawana hivyo vifaa?View attachment 3205236"AN/PSQ-42 Enhanced Night Vision Binocular (ENVG-B) ni kifaa cha kuona usiku cha kizazi cha tatu (kisichotoa mwanga) kilichoandaliwa kwa ajili ya Jeshi la Marekani. ENVG-B mpya na FWS-Is zinawaruhusu askari kufanya uchunguzi wakati wa operesheni za mchana na usiku, pamoja na uwezo wa kuona kote kona au vikwazo vingine kwa kutumia mfumo mpya wa teknolojia."
Hapa ndugu zangu tusijiulize Sana kwanini urusi inapoteza wanajeshi wengi kuliko Ukraine Issue ni wenzao wako mbele sana