Huwezi sema taifa kama hilo kuzidiwa kivita kwa sababu ya night vision goggles...
Hizo 3rd generation night vision unaweza kuelezea ni vitu gani vya kipekee vipo ambapo goggles za majeshi mengine hazipo...?
Kwa maana hata jeshi la Russia wana gogggles zao za kijeshi ambazo ni 3rd gen, zimetengenezwa kuangalia kwenye total completely dark...
Hizo unazosema za US jamaa yupo sahihi zinauzwa kwenye sites nyingi tu, nahisi ndizo hizo AN/PSQ-20... ambazo bei ina range usd 10,0000-15,000.
View attachment 3206101
Hata hizo za Russians zinauzwa pia kwenye sites nyingi
View attachment 3206102
, huwezi sema watu wamerusha satellite 1950s kabla ya US, wanatengeneza mifumo complex ya kulinda anga kama s-400/s-500, wanatengeneza fighters kama sukhoi su, wanatengeneza bombers na ndege kubwa, wana tech za ku enrich uranium, wanatengeneza drones n.k
Russia wana sattelite navigation system yao inaitwa GLONASS, USA wanayo GPS, China wa BeiDou, Ulaya wana GALILEO....
Ulimwengu mzima kuna global satellite navigation systems ambazo ni 4 tu... ikiwemo GLONASS ya Russia....
Hivi nchi yenye tech kiasi hiko unakuja kusema jeshi lake linazidiwa kivita kwenye uwanja wa mapambano kisa night goggles?
Hizo night vision tu zimewekwa hadi kwenye vifaru vya Russia, mfano T-90.
umenichekesha sana kiongozi.