Vifahamu vyeo vya askari polisi wa Tanzania na alama zake

Hivi Mkuu wa Kituo anaanzia cheo kipi?
OCD anaanzia cheo kipi?
RPC anaanzia cheo kipi?
hizo ni nyazifa
haijalishi una cheo gani.
unaweza ukawa inspector na ukapewa kituo uongoze sio lazima uwe na cheo fulani ndio upewe wadhifa fulani.
 
Mimi nilitaka kuulizia elimu kwa namna hii. Nilitaka kufahamu zaidi kiwango cha chini cha elimu kwa kila cheo.

[HASHTAG]#farufausta[/HASHTAG]
kwa siku hizi ili uende kusomea nyota ni lazima uwe angalau na degree moja. hiyo ni kwa siku hizi. japo yoyote pia kulingana na uhitaji anaweza kwenda kwenye kozi hiyo
 
hizo ni nyazifa
haijalishi una cheo gani.
unaweza ukawa inspector na ukapewa kituo uongoze sio lazima uwe na cheo fulani ndio upewe wadhifa fulani.
Nimeuliza inaanzia cheo gani,minimum.

Je inspector anaweza akawa OCD?akawa RPC? ndio logic yangu, minimum requirement kwa vyeo hivyo.
 
Nimeuliza inaanzia cheo gani,minimum.

Je inspector anaweza akawa OCD?akawa RPC? ndio logic yangu, minimum requirement kwa vyeo hivyo.
ndio inspector anaweza akawa OCD kwa mfano sehemu ambazo zina uhaba wa viongozi. unakuta hata RTO ni mdogo tu kwa cheo. Kwa mfano nenda mkoa mpya Wa SONGWE utajionea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…