Kwani mie nimekuuliza kuhusu RTO?RTO ana cheo gani?
OCS wengi ni ASP
OCD wanaanzia SP-SSP
RPC huanzia ACP-DCP
Ni Regional Traffic Officer, Mkuu wa Traffic Mkoa.RTO? Kirefu tafadhali
Nadhani aliyeuliza hajapata jibu sahihi.hizo ni nyazifa
haijalishi una cheo gani.
unaweza ukawa inspector na ukapewa kituo uongoze sio lazima uwe na cheo fulani ndio upewe wadhifa fulani.
Mkuu wa zimamotoPembeni ya ofisa wa magereza ni nani?
Angalia vizuri hukuelewa swaliNi Kamishina Jenerali wa Magereza Juma Malewa
Mungu wa majeshiAliyevumbua hvyo vyeo anaitwa nani
Upunguze viroba na shishaInachukua muda gani kupanda cheo?mbona inspector harun muda mrefu ana cheo kimoja?
Siku hizi hakuna hicho kituSio kweli PC na uniform havina uhusiano. Hao ni detectives....wasiovaa uniforms
Mara nyingi form six wanaanzia u sgt yaani baada ya mafunzo next sgt kozi unapelekwa...
Sentences yako haisomeki vzr mkuu
Kushoto ni Cheo cha Kamishna na kulia ni cha IGP
Hapo alikuwa anapandishwa cheo hivyo anavuliwa cha u Kamishna na kuvikwa cha IGP na Zoezi lilianza bega la kulia
Tumsubil Augue wa mpromot.Baba angu ndo alichora hizo nembo mkuu
suala ni sheria inasemaje?km alikosa na sheria inasema akamatwe lazima akamatwe km alitaka maongezi lisingefanyika adharani au kupelekwa rasmi,vijana wanapangiwa zamu wanafoji vyeti vya daktari,mwenzako akiwa promoted unalaumu,tunakupromote vipi hatukujui,angalau jeshini wangi wanakaa kambini,polisi je?conservative3 wanakumbwa na changamoto zip mkuu maana sijawai kushuudia vijana wanapewa fursa maana hawa wazee wetu wanatoa maamuzi magumu nilishashuudia aki amrisha kijana akamatwe kwa kosa ambalo wangeongea na kuelewana.