Brig General Carlitos Way
JF-Expert Member
- Apr 27, 2009
- 1,601
- 3,658
Kajipange upya mkuuInasikitisha sana yale yaliyotokea kipindi MV Bukoba inazama leo hii ndiyo yale yale yaliyoikuta ndege yetu na kusababisha vifo visivyotarajiwa.
Sina uzoefu na ndege ila siku ya tukio sikuwa mbali na eneo husika, baada ya ndege kupata ajali eneo la mbele la ndege liliingia ndani ya maji na kubakiza mkia na eneo la kati vikiwa havijafikwa na maji.
Kilikuwa ni kitendo cha kuvutwa ile ndege na kusogezwa eneo lina kina kidogo ndiyo mlango ukafunguliwa.
Yakafanywa yale yale ya MV Bukoba, akatokea kijana wa hovyo asiye na maarifa akafungua mlango wa ndege na kusababisha abiria walokuwa ndani ya ndege na rubani wetu maskini wamejifunga mikanda ili kungoja taratibu za uokoaji, kijana wa hovyo akafungua mlango na kuingiza maji kwenye ndege.
Ndicho kilichofanya abiria hao 19 kufariki Dunia, ni jambo baya mno.
Itakuwa we ndo ulimzuia dogo kumuokoa rubaniInasikitisha sana yale yaliyotokea kipindi MV Bukoba inazama leo hii ndiyo yale yale yaliyoikuta ndege yetu na kusababisha vifo visivyotarajiwa.
Sina uzoefu na ndege ila siku ya tukio sikuwa mbali na eneo husika, baada ya ndege kupata ajali eneo la mbele la ndege liliingia ndani ya maji na kubakiza mkia na eneo la kati vikiwa havijafikwa na maji.
Kilikuwa ni kitendo cha kuvutwa ile ndege na kusogezwa eneo lina kina kidogo ndiyo mlango ukafunguliwa.
Yakafanywa yale yale ya MV Bukoba, akatokea kijana wa hovyo asiye na maarifa akafungua mlango wa ndege na kusababisha abiria walokuwa ndani ya ndege na rubani wetu maskini wamejifunga mikanda ili kungoja taratibu za uokoaji, kijana wa hovyo akafungua mlango na kuingiza maji kwenye ndege.
Ndicho kilichofanya abiria hao 19 kufariki Dunia, ni jambo baya mno.
Hii nchi ina wataalamu wa kila jambo, kama mto mada vileWewe umesikiliza interview ya mmoja aliyenusurika alikaa nyuma , anasema mbele kulianza kujaa maji hata kabla mlango haujafunguliwa
Naona umekurupuka na hoja umeandika kwa utash wako na sio Uhalisia na uchunguzi kwa faida yako tu ndege ilikita kwenye maji kwa kuangalia kichwa chini mkia juu ikapinda na kuvunjika kichwa kias cha maji kuanza kujipenyeza kidogo kidogo ndio maji yakajaaElewa kiswahili mkuu yalianza na huyo kijana wa hovyo aliyefungua mlango yeye ndo alienda kuyatoa hayo maji yaloanza kuingia au
Hata mimiSijui kwann nimesoma hapa nimepata hasira
UshuziInasikitisha sana yale yaliyotokea kipindi MV Bukoba inazama leo hii ndiyo yale yale yaliyoikuta ndege yetu na kusababisha vifo visivyotarajiwa.
Sina uzoefu na ndege ila siku ya tukio sikuwa mbali na eneo husika, baada ya ndege kupata ajali eneo la mbele la ndege liliingia ndani ya maji na kubakiza mkia na eneo la kati vikiwa havijafikwa na maji.
Kilikuwa ni kitendo cha kuvutwa ile ndege na kusogezwa eneo lina kina kidogo ndiyo mlango ukafunguliwa.
Yakafanywa yale yale ya MV Bukoba, akatokea kijana wa hovyo asiye na maarifa akafungua mlango wa ndege na kusababisha abiria walokuwa ndani ya ndege na rubani wetu maskini wamejifunga mikanda ili kungoja taratibu za uokoaji, kijana wa hovyo akafungua mlango na kuingiza maji kwenye ndege.
Ndicho kilichofanya abiria hao 19 kufariki Dunia, ni jambo baya mno.
Mashenzi kama haya hata mende hayawezi kuuwa huko yanakokaa kwa mashemeji zaoAina hii ya watoa maada wana mchango mdogo sana kwa taifa...
Kipimo cha akili unakijua au unajisemesha kisa una smartphone ulonunuliwa na shemeji yako.
Inaonekana wewe hata ndege hujijui wewe mlango aliofungua kijana ni mlango wa nyuma sasa ufunguliwe mlango wa nyuma maji yaanze kujaa mbele wewe vp ziro nini?Elewa kiswahili mkuu yalianza na huyo kijana wa hovyo aliyefungua mlango yeye ndo alienda kuyatoa hayo maji yaloanza kuingia au
mleta mada atakua ni askari wa kikosi cha uokoaji ambaye hajui kitu kuhus ndege, siku jaribu kujifungia kwenye godown ambalo hakuna hewa inayoingia wala kutoka alaf ukae ata dk 20 huone shughuli yake.Na hapo ukifuatilia unawez kukuta mleta uzi kama sio mwanafamilia ya majaliwa basi rafiki yake au mvuvi mwenzie maana wivu wa aina hii sidhani kama ni wa kutoka mbali na watu wake wa karibu.
Hewa kwenye ndege haihitaji injini kuwaka, Kuna kitu kinaitwa Auxiliary Power Unit kama sio System, ni kama generator linakua mkiani kwenye ndege ndio hutoa umeme ndege ikiwa haijawasha injini. Utakumbuka mkiwa mnapandia kwenye ndege injini zinakua hazijawaka lakini umeme unakuwepo kwenye ndege.
Kwa hii kesi, maji yalianza kuingia Mara baada ya ndege kujipigiza kwenye maji.
Akili zako zinakaaga wapi?Inasikitisha sana yale yaliyotokea kipindi MV Bukoba inazama leo hii ndiyo yale yale yaliyoikuta ndege yetu na kusababisha vifo visivyotarajiwa.