Vifo 19 katika ajali ya ndege Bukoba, muuaji apata kazi katika kikosi cha zima moto

Is up to you to decide, whether the glass is half full OR half empty..!! But the level of what is in the glass is the same..!!
 
Yani unaongea hayo wakati wewe mwenyewe umeshasema ulikaa tu pembeni what were you wait for, shame on you mwenzako ame take risk kuokoa unachoweza ndiyo hiki kupiga ngenga tena unamwita muuaji while kwa uozo uloandika tayari unaonyesha haukuwa na mema na walopata ajali.
 
Hospital ya Milembe wana taarifa kama Upo huku JF?
 
Kuna jamaa nimemsikiliza sasa Hivi EA radio, alivyoeleza it's as if yeye ndo aliyefungua mlango kwa ndani akishirikiana na muhudumu wa ndege...wavuvi walikuja baadae sana. Huenda dogo ameteleza kwa Ganda la ndizi kupitia Hilo tukio
 
Mleta Uzi umekurupuka kuandika ulichoandika..kumbuka ndege tayari ilishaharibika upande wa mbele(rejea ile picha ya mabaki ya pua ya ndege)hivyo maji tayari yangeingia tu au yalishaanza kuingia kwa upande wa mbele hata kabla ya kufunguliwa mlango.
 

Attachments

  • FB_IMG_1667917920217.jpg
    52.5 KB · Views: 3
Muukoaji kapata kazi na atafundishwa kwa walioshindwa kuokoa
 
Usikute ndo lile lililomzuia shujaadogo majaliwa asiwaokoe marubani wetu.
 
NI TUSI GANI AMBALO HAWA WAFANYAKAZI WA JF WAKILISIKIA TU HAPO HAPO WANAKUFUNGIA KUTUMIA MTANDAO WAO MOJA KWA MOJA?
 
muuaji apata kazi katika kikosi cha zima moto?

Mkuu hiki nini? Mbon kichwa kingine na miguu mingine yaan kichwa cha Mbuzi miguu ya Kondoo, umemaanisha nini?
 
Hao abiria 26 wangepona bila huo mlango kufunguliwa ?

Unasema wangeivuta kwanza ? Seriously ? Kwa mda gani uliokuwepo na vyenzo gani ?

Akili hauna wewe

Wewe ndo huna akili, unabishanaje na mwendawazimu
 
darasa la 7 wameshamaliza shule wameakuja kujaza nyuzi ss!
 
Huyu ndio yule aliyemwambia kijana asivunje kioo, anawasiliana na marubani?
 
Elewa kiswahili mkuu yalianza na huyo kijana wa hovyo aliyefungua mlango yeye ndo alienda kuyatoa hayo maji yaloanza kuingia au
Si kweli. Ndege ilipoanguka tu, maji yalijaa kule mbele ambapo ndiko ilidondokea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…