Sasa nimesikia wahudumu wamewekwa kwenye wale 19 imekuaje yeye akanusurika alafu wahudumu anaowasema wamesaidiana nae wamekufa? Bado maelezo hayajajitosheleza hapo mkuualivyoeleza it's as if yeye ndo aliyefungua mlango kwa ndani akishirikiana na muhudumu wa ndege
Huyo anasema alikuwepo eneo la tukio, lakini hakuhusika na uokoaji! dah inasikitisha sanaKwahiyo ww una akili kushinda serikali waliompatia ajira?
shangaa na wewe ameamua kukimbia uzi wake,yaani hizi fake id zinaficha mengi,watu wanamsongo wa mawazo ko wanatafuta pa kumalizia shida zaoKumbe ni kijana asiejua hata kutongoza anatafuta attention tu.
Apambane kwanza ajifunze kutongoza kabla ya kuanza kujishughulisha na mada kubwa kubwa zilizo nje ya uwezo wako.
[emoji23] hata ningekua mimi kwa hizi nyundo ningekimbia tu.Kama kuchapika tu, mtoa mada kachapika[emoji23]
we sio poa sio kwa nyundo hiziKama kuchapika tu, mtoa mada kachapika[emoji23]
Bahati mbaya hii mada itamuongezea msongo wa mawazoshangaa na wewe ameamua kukimbia uzi wake,yaani hizi fake id zinaficha mengi,watu wanamsongo wa mawazo ko wanatafuta pa kumalizia shida zao
ππππππππInasikitisha sana yale yaliyotokea kipindi MV Bukoba inazama leo hii ndiyo yale yale yaliyoikuta ndege yetu na kusababisha vifo visivyotarajiwa.
Sina uzoefu na ndege ila siku ya tukio sikuwa mbali na eneo husika, baada ya ndege kupata ajali eneo la mbele la ndege liliingia ndani ya maji na kubakiza mkia na eneo la kati vikiwa havijafikwa na maji.
Kilikuwa ni kitendo cha kuvutwa ile ndege na kusogezwa eneo lina kina kidogo ndiyo mlango ukafunguliwa.
Yakafanywa yale yale ya MV Bukoba, akatokea kijana wa hovyo asiye na maarifa akafungua mlango wa ndege na kusababisha abiria walokuwa ndani ya ndege na rubani wetu maskini wamejifunga mikanda ili kungoja taratibu za uokoaji, kijana wa hovyo akafungua mlango na kuingiza maji kwenye ndege.
Ndicho kilichofanya abiria hao 19 kufariki Dunia, ni jambo baya mno.
kabisa make last seen ni 14 hrs ago,nina uhakika hii mada amekopy na kupest kutoka kwenye mitandao yao hukoBahati mbaya hii mada itamuongezea msongo wa mawazo
Hapana hiyo power unit huwa inaku connected nje ya ndege, that's why ndege ikitua tu uwanjani huwa wanaiconnect kwenye generator mpaka pale engine zinapowashwa...ziwani hakuna hiyo source.
nawe tuliza akili ndege imepatajali unajuaaje kama ilivyo kita katk ziwa haikujibamiza chini au kugonga mwamba? mpaka ulete hoja ya hiyo auxillary power system kua salama?
Hahaha, nimecheka kama mazuri kwa namna ulivomalizia mtoa hoja. Huyu atakuwa aliandika uzi wake aliwa "amejizima data" siyo bure...!!! KenchyType zake Islamabad....Kabla ya kukulaumu, kwa kuwa mimi si mtaalamu wa maswala ya anga, nilizama kujifunza ni kwa muda gani ndege inayoelea majini itaanza kuingiza maji?
Majibu niliyojipatia ni kuwa, ni kwa sekunde kadhaa tu maji yataanza kupata upenyo wa kuingia ndani ya ndege na kusababisha kuzama.
Kijana aliyevunja mlango alifanikisha uokozi wa watu 26 na 19 kufariki.
Hata kama alifanya kosa kwa namna ambayo wewe unajaribu kutuaminisha, idadi ya waliookolewa ni kubwa zaidi ya watu waliofariki. Bado kuna faida.
Acha upumbavu na roho ya husda kwa ushujaa aliofanya kijana Majaliwa.
Ukute upo huko ulipo unakuna pumbu zako zilizojaa fungus, alafu unaandika ushuzi wa namna hii. Mwana hayawani wewe.