Vifo 19 katika ajali ya ndege Bukoba, muuaji apata kazi katika kikosi cha zima moto

Vifo 19 katika ajali ya ndege Bukoba, muuaji apata kazi katika kikosi cha zima moto

alivyoeleza it's as if yeye ndo aliyefungua mlango kwa ndani akishirikiana na muhudumu wa ndege
Sasa nimesikia wahudumu wamewekwa kwenye wale 19 imekuaje yeye akanusurika alafu wahudumu anaowasema wamesaidiana nae wamekufa? Bado maelezo hayajajitosheleza hapo mkuu
 
Ulikua eneo la tukio unaachamisha domo lako tu afu unakuja kuandika uharo humu.
 
Kwa ujinga na upumbavu wako ulio nao utaitesa sana familia yako.
 
Kwahiyo ww una akili kushinda serikali waliompatia ajira?
Huyo anasema alikuwepo eneo la tukio, lakini hakuhusika na uokoaji! dah inasikitisha sana

Ile ndege imeanza kupitisha maji hata kabla ya kubomoa mlango, maji yalipitia eneo la mbele kwe rubani!.

Jamaa, tumuache na mawazo yake!
 
Ndugu unafikiri ndege ikiwa majini hairuhusu maji kuingia?ndege ilipogusa maji yalianza kuingia tena kwa kasi,kama wangechelewa asingepona mtu....fuatilia kipindi...fuatilia kipindi cha Airclash investigation kinarushwa DSTV uone matukio ya ndege inapopata itilafu na kisha kutua kwenye maji,jinsi maji yanavyopenya kwa kasi....huyo dogo kafanya jambo la kishujaa kuokoa hao 26.
 
Mkuu hoja zako hazina mashiko...Dr amesema uchunguzi unaonyesha waliokufa wamekosa hewa. Mama mmoja aliyesurika akihojiwa na bbc amesema mpaka mlango unafunguliwa maji yalishafika kifuani.... ww ulitaka wafe wote
 
Kumbe ni kijana asiejua hata kutongoza anatafuta attention tu.

Apambane kwanza ajifunze kutongoza kabla ya kuanza kujishughulisha na mada kubwa kubwa zilizo nje ya uwezo wako.
shangaa na wewe ameamua kukimbia uzi wake,yaani hizi fake id zinaficha mengi,watu wanamsongo wa mawazo ko wanatafuta pa kumalizia shida zao
 
Inasikitisha sana yale yaliyotokea kipindi MV Bukoba inazama leo hii ndiyo yale yale yaliyoikuta ndege yetu na kusababisha vifo visivyotarajiwa.

Sina uzoefu na ndege ila siku ya tukio sikuwa mbali na eneo husika, baada ya ndege kupata ajali eneo la mbele la ndege liliingia ndani ya maji na kubakiza mkia na eneo la kati vikiwa havijafikwa na maji.

Kilikuwa ni kitendo cha kuvutwa ile ndege na kusogezwa eneo lina kina kidogo ndiyo mlango ukafunguliwa.

Yakafanywa yale yale ya MV Bukoba, akatokea kijana wa hovyo asiye na maarifa akafungua mlango wa ndege na kusababisha abiria walokuwa ndani ya ndege na rubani wetu maskini wamejifunga mikanda ili kungoja taratibu za uokoaji, kijana wa hovyo akafungua mlango na kuingiza maji kwenye ndege.

Ndicho kilichofanya abiria hao 19 kufariki Dunia, ni jambo baya mno.
😁😁😁😁😁😁😁😁
 
Hapana hiyo power unit huwa inaku connected nje ya ndege, that's why ndege ikitua tu uwanjani huwa wanaiconnect kwenye generator mpaka pale engine zinapowashwa...ziwani hakuna hiyo source.

Hizo ni ndege ndogo mkuu. Ndege kubwa Zina hiyo unit ( kama standby generator) inatia umeme wakati injini za ndege hazijawashwa.
 
nawe tuliza akili ndege imepatajali unajuaaje kama ilivyo kita katk ziwa haikujibamiza chini au kugonga mwamba? mpaka ulete hoja ya hiyo auxillary power system kua salama?

Ungeanza kwanza kutuliza akili ukasima taratibu niliyemnukuu na kujibu hoja ya msingi ilikua ni kitu Gani.

Hilo la ndege kugonga Mwamba au kujikuta kwenye udongo kutokana na Kuna kifupi Cha maji niliandika tokea siku ya kwanza, na nikasema hicho ndio kutakua kilipelekea ndege isielee izame Kwa vile maji yaliingia ndani.
 
Kabla ya kukulaumu, kwa kuwa mimi si mtaalamu wa maswala ya anga, nilizama kujifunza ni kwa muda gani ndege inayoelea majini itaanza kuingiza maji?

Majibu niliyojipatia ni kuwa, ni kwa sekunde kadhaa tu maji yataanza kupata upenyo wa kuingia ndani ya ndege na kusababisha kuzama.

Kijana aliyevunja mlango alifanikisha uokozi wa watu 26 na 19 kufariki.

Hata kama alifanya kosa kwa namna ambayo wewe unajaribu kutuaminisha, idadi ya waliookolewa ni kubwa zaidi ya watu waliofariki. Bado kuna faida.

Acha upumbavu na roho ya husda kwa ushujaa aliofanya kijana Majaliwa.

Ukute upo huko ulipo unakuna pumbu zako zilizojaa fungus, alafu unaandika ushuzi wa namna hii. Mwana hayawani wewe.
Hahaha, nimecheka kama mazuri kwa namna ulivomalizia mtoa hoja. Huyu atakuwa aliandika uzi wake aliwa "amejizima data" siyo bure...!!! KenchyType zake Islamabad....
 
Back
Top Bottom