Vifo 19 katika ajali ya ndege Bukoba, muuaji apata kazi katika kikosi cha zima moto

Kukaa kimya nalo pia ni jibu...unaandika vitu vitu vya hovyo kabisa.....ndege imeanguka saa 8:39 am majini....waokoaji wamefika eneo la tukio saa 12: 30 pm hivi ulitegemea nini mkuu.....
 
Wivu huo
 
Haya Maneno yako nitayaamini tu Kama kweli na wwe ni mmoja wa abiria aliyenusurika kwenye hiyo ajali! La sivyo itakua tu ni porojo Kama porojo zingine!!
 
Daah aisee, kuna binadamu kama bata tu, hata uwalishe kokoto bado wataharisha tu.

Huyu mwamba kafungua mlango huku ikiwa tayari ndege walikuwa kwenye viti vya mbele tayari maji yamewafikia na wengine wakiwa kwenye harakati za kutaka kufungua mlango ndo yeye akafungua

Sasa wangefungua wenyewe abiria ungelaumu pia?
 
Ila we Jamaa unateseka sanaaa
Muuwaji na kijana wawatu aliyatoa maisha yake na kufanikiwa kuokoa wengine.
Bila shaka mleta mada atakuwa kasha bokolewa nyuma ya kinyelo chake
 
Wangeivuta na nini kama tangu saa mbili hadi saa 10 jioni wanavuta tu na kamba? Tena kijana apewe medali ya shujaa wa taifa siku ya kumbukumbu ya mashujaa.pia na aliokuwa nao waliosaidia kuokoa wapewe motisha wasiishie kwa huyo mmoja.maana siasa bwana wapigania uhuru walikuwa wengi lakini tunamkumbuka Nyerere tu.
 
Nitamsaidia mleta mada kama ifuatavyo: anafikiri kufunguliwa kwa mlango kuliongeza maji ndani ya ndege; hilo haliwezekani, maji yaliyoingilia mbele ya ndege baada ya kuvunjika pua, yalisambaa ndani ya ndege kufikia usawa wa maji ya nje. Kwa hivyo, kuvunjwa kwa mlango hakukuongeza ukubwa wa tatizo. Unaweza kufanya majaribio ukitaka kujiridhisha; chukua kopo, toboa upande mmoja halafu liingize kwenye beseni lililojaa maji ukiinamisha hilo kopo lako kwa mfano ule wa ndege ilivyokaa kwenye maji, angalia usawa wa maji ndani ya kopo na nje ya kopo.
 
Sikiliza abiria waliokolewa unaambiwa maji yalijaa ata kabla mlango haujafunguliwa rejea interview za waliopona ni wale waliofunguliwa mlango
 
Asipoelewa na hapa
 
Makasiliko sasa yy ndo alidumbukiza ndege ziwani kilaza wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…