Vifo 19 katika ajali ya ndege Bukoba, muuaji apata kazi katika kikosi cha zima moto

Tena angefungua na WA mbele rubani na yule ofisa WANGEPONA,inasikitisha wamejiona wanakufa
 
Na inasemekana ilipita kusiko kwa kawaida kitendo hicho wao kama wa usalama wangejiuliza maswali imekuwaje na wangejiweka utayari wa kufuatilia lakini ndo hivyo.
 
Hapana hiyo power unit huwa inaku connected nje ya ndege, that's why ndege ikitua tu uwanjani huwa wanaiconnect kwenye generator mpaka pale engine zinapowashwa...ziwani hakuna hiyo source.
 
Choko wewe
 
Em acheni mambo ya uongo uongo ni kujidhalilisha na kujipea sifa mbaya
 
Kwahiyo hasira za kukuchapia demu wako kwa huyo mwamba ndio unazihamishia huku???

Nonsense kabisa
 

Kwa maelezo ya abiria aliyekuwepo kwenye ndege baada ya ndege kuingia ziwani upande wote wa mbele ulikuwa umejaa maji na watu hawaonekani sasa kitendo cha kishujaa alichofanya yule kijana kiheshimiwe hata cabin crew walikuwa wanajaribu kufungua mlango kutokea ndani kijana ndio akawasupport tuliza kichwa acha kukurupuka
 
Watanzania mnaongea sana hadi mnakera
 
Kama kijana muokoaji aliisikia sauti ya rubani ikimtaka afungue mlango,unataka angemjibu habari za mv bukoba?je wewe ulichukua hatua Gani au ulikuwa unangalia mlango ukifunguliwa?Tushukuru Mungu vinginevyo .......
 
Hao 19 nahisi walishakufa kwa mshituko au walizimia wakat ndege imepiga chini mana kwa jinsi ilivozama ilipiga kwa mbele so impact yake lazma watu watakua walishakufa kwa mshituko mana unambiwa walikutwa wamefunga seat belt

Sent from my Pixel 3a using JamiiForums mobile app
 
Sasa Mlishindwa nini kuivuta mpaka dogo akawazidi kete? Au wewe ndo yule aliyekua kwenye mwamvuli?
 
Elewa kiswahili mkuu yalianza na huyo kijana wa hovyo aliyefungua mlango yeye ndo alienda kuyatoa hayo maji yaloanza kuingia au
Unasema hukuwa mbali na eneo la tukio, je ulitoa msaada gani wewe kama wewe? Sasa kati ya wewe na huyo kijana nani ni mtu wa hovyo?
 
Matako yako mtoa mada
Walau hicho kitusi kidogo kinakufaa boya wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…