Vifo vya Samaki Mto Mara: Kamati ya Dharura yaundwa kuchunguza Samaki wanaodaiwa kufa kwa Sumu

Je pia magugu maji yanayozidi kuota ktk Ziwa Victoria na pia magugu maji hayo kujipenyeza ktk mito kanda ya ziwa ndiyo inamaliza hewa safi ya oxygen hivyo kusababisha samaki kufa ?

Uchafuzi wa mazingira yanayofanywa na shughuli za kijamii za kibinadamu pia utupaji ovyo wa taka-sumu inaathiri viumbe maji na pia shughuli za kiuchumi za binadamu kama uvuvi. Ukulima wa bustani ndani ya mita 60 toka ktk vyanzo vya mito na kingo za ziwa ambao hutumia viatilifu na mboji huathiri usafi wa maji na kusababisha vifo vya samaki.

Migodi na viwanda pia kutupa taka moja kwa moja ktk vyanzo vya maji na ziwani pia vinaweza kusababisha athari kwa mazingira na uhai wa viumbe maji na binadamu pia.


https://www.thenewhumanitarian.org › ...
Livelihoods hit as water hyacinth takes over Lake Victoria

It becomes harder for us to catch the Nile Perch as the fish moves into the open waters away from the oxygen-deprived waters near the weeds,” he said.
 
Si jambo Jema kujirudia kwa Kampuni kubwa duniani Barrick inayojinasibu kuridhia Sera viwango vya juu vya Usalama mazingira .
Ni dharau ya Hali ya juu kwa Watanzania.
 
Na hawa ndio Samaki wanaosafirishwa tunaletewa
Kuanzia Leo nasimama Kula Samaki
 
Kansa umeongezeka sana kanda ya ziwa hivi karibuni na hii sumu zinazoingia lake Victoria ndio chanzo.
 
Yani haya mambo ukiona unajiuliza maswali mengi sana, hivi serikaki haioni umuhimu wa kulinda Afya za watanzania? Hilo ziwa linategemewa na mamillion ya watu just imagine, athari mamillion ya watu wanaweza pata kuna faida gani kuwa na huo mgodi? Hivi Huwa na kitu tuna miss vichwani? Dah!!, Watu wanakunywa hayo maji, wanakula samaki, wanatumia for irrigation, so sad hii nchi kwakweli!!
 
Msipende kusingizia migodi, kama wangekufungulia hayo maji hata wanyama pori, mifugo na binadamu wanaotumia mto huo wangezurika na sayanaidi na lingekuwa kosa lenye skendo kubwa Kwa Barick naomba waandishi tusiwe tunahukumu mojakwamoja
 
Si tulikubaliana wawekezaji wasisumbuliwe! acha wamwage sumu ikibidi warushe na mabomu mtoni
 
Msipende kusingizia migodi, kama wangekufungulia hayo maji hata wanyama pori, mifugo na binadamu wanaotumia mto huo wangezurika na sayanaidi na lingekuwa kosa lenye skendo kubwa Kwa Barick naomba waandishi tusiwe tunahukumu mojakwamoja

Do you know anything about bio-indicator species mkuu? Au ume-comment ili na wewe uonekane unajua?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…