Vifo vya Samaki Mto Mara: Kamati ya Dharura yaundwa kuchunguza Samaki wanaodaiwa kufa kwa Sumu

Vifo vya Samaki Mto Mara: Kamati ya Dharura yaundwa kuchunguza Samaki wanaodaiwa kufa kwa Sumu

Tuweke mzigo mezani

Ndugu zangu kuna hii taarifa, yupo yeyote ambaye anajua ukweli wake, maana mtu ambaye yupo ndani mgodini amenitumia ujumbe huu ambao nimeambatanisha na picha alizotuma:
Hili ni doa kimataifa athari zake ni kubwa mno kwakuwa biashara ya minofu kimataifa itakoma ulaya hawako tayari kula sumu
 
Tayari kimesha umana huko mtoni Mara...🤗
 
Back
Top Bottom