Vifo vya Samaki Mto Mara: Kamati ya Dharura yaundwa kuchunguza Samaki wanaodaiwa kufa kwa Sumu

Do you know anything about bio-indicator species mkuu? Au ume-comment ili na wewe uonekane unajua?
Haya wewe unayejua endelea kujua kijana tusitishane kujiona unajua zaidi kuwa mpole Kuna mambo huyajui subiri uelimishwe
 
Kwenye mambo kama haya, NEMC ndiyo inatakiwa kuonesha makucha yake... na siyo kwenda kufungia biashara za watu kisa choo hakijasafishwa...
Leo umetoa mwongozo sahihi kabisa...nemc wawajibike sio kukusana pesa za EIA tu.

#MaendeleoHayanaChama
 
Hii ni mbaya sana, uchunguzi wa kina ufanyike. Recovery period sijui itakuwa muda gani mpaka shughuli za kawaida ziendelee kwenye huo mto.
Huu mgodi si wamejenga water treatment plant ya drainage za mgodini sio muda mrefu. How can this happen, baada ya project kubwa kama ile.
Ngoja tusubiri report za uchunguzi zinasemaje.
 
BARRICK NORTH MARA YAFUNGULIA MAJI YA SUMU Ya Cyanide inayotumika kwenye uchenjuaji wa dhahabu
 
Kweli mkuu, kwa sasa hawawezi kusema wanajua wakisema watampa kiki japo hayupo.

Lazima ukweli ubaki kwenye nafasi yake, haya mambo yangetokea ila si kwa kiasi kikubwa naona ombwe la ukosefu wa kimamlaka kuogopa wananchi watateseka likijirudi.
 

 
Wazee wa Ngorongoro Kitenge na Oscar bado hawajafika huko mto Mara watuhabarishe kinachoonekana?
 
Kule meno ya tembo, mara sumu kwenye ziwa, mara mama tupia jicho bandarini ata one year anniversary bado; mambo shaghalabaga.

Wanasiasa Tanzania bara njaa (walau visiwani kuna watu kama hakina Othman Masoud wanamisamo). Bara teua tu watakupamba na kukutetea kama hawana akili vizuri na watafanya juu chini ubakie ata milele mradi wapo kwenye nafasi; piga chini hakuna watakachofanya wengi hawana lolote bila ya hizo nafasi zao.

Vita ya raisi ipo kwa wafanyakazi serikalini hawa ndio wanasemehe kodi sio wanasiasa, hawa ndio wananyanyasa raia kila siku sio wanasiasa, hawa ndio wanatoa vibali mambo ya ovyo kufanyika sio wanasiasa, hawa ndio wanabambikia watu kesi sio wanasiasa, hawa ndio wanauza viwanja vya watu sio wanasiasa, hawa ndio wanaingia mikataba ya ovyo huko chini sio wanasiasa, hawa ndio wabadhirifu wakubwa wa mali za umma sio wanasiasa, hawa kwa wingi wao ndio wenye mijengo inatisha kushinda nyumba za mawaziri, hawa ndio awataki mawaziri technocrats katika wizara zao wakuwasimamia vizuri, hawa ndio tatizo la Tanzania 90%.

Magufuli ametuonyesha vita na hawa watu sio ndogo sema katikati ya vita vyake kuna wanasiasa ambao awakumuelewa na kujiingiza katika vita isiyowahusu. Hawa ndio watu ambao maza aangaiki nao kabisa leo wakati washaanza kuiharibu nchi upya kwa kasi ya ajabu.
 
Visa vya saratani vitaongezeka
 
Ahh naona wako bize na habari za umbea, ukuda
Labda paskali aende huko vp lkn kna maslahi kwake
Pascal Mayalla

Ova
Mkuu mrangi , kiukweli kuandika IJ kama hii sio tuu inahitaji some specialized knowledge, pia ni fursa!. Hii mimi nitaifuatilia, ila nikiisha ikamilisha, na kuiandika, naituma kwanza mahali, ili kuepuka kuwachafua wawekezaji muhimu kama hawa, ambao serikali yetu, ina hisa asilimia 16%, na sisi na Barrick, tunagawa faida, 50/50!. Nikiisha ipeleka hiyo finding yangu hapo nitakapoipeleka, ikitokea, mkaona haijawa published popote, nakuomba usiniulize kwanini haikutoka!.
P
 
Mtaalam amesema kuwa kwenye maji kuna mafuta mengi na grisi. Je tunajiuliza hayo mafuta na grisi yametoka wapi?.
 
Ningefungia mgodi kwanza Hadi uchunguzi ukamilike!halafu Baada ya hapo Kama Wana husika wanapigwa faini na KUPAMBANA nlkurudisha samaki waliopotea ile ecosystem irudi ndio mgodi utafunguliwa!!!
 
Huu ni uongo ukijumuisha na figisu figisu……..,
Mleta uzi ebu tuambie ni aina gani ya sumu walio ifungulia hao ‘mabeberu’ ???
Mercury inatumika sana migodi ya dhahabu,
 
Inaction

Mamlaka badala ya kutoa AMRI

Wanaunda kamati hata kwa jambo ambalo ni wazi namna hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…