Vifo vya vijana hawa miaka 80 na early 90 huko ushuani, Oysterbay

Eric alienda Malaysia. Alipiga chuma kikamkubali kichizi.
Kuna muda nilikutana nae anaongea kichina kama chote
akanipeleka gym moja mitaa ya msasani, karibu na kanisani bondeni , akanitoa nishai weights za kutosha, alikuwa akiweka akili yake kwenye kitu chochote, anafanya kwa 110%
Kuanzia BMX yake, mpaka Basketball Vijana
 
Kuna watu walikuwa na vipaji. Watu walikuwa wanapiga vyuma kama hawana akili nzuri.
 
Chuki kati ya wenye nacho na wasio nacho, wivu, roho mbaya ukichanganya na umasikini, ni ugonjwa mbaya sana.
Hakuna cha waliokuwa nacho, wazee wengi wa Obay walikuwa na njaa tuu, walikuwa watumishi wa serikali na wengi hawakuwa wezi kama hawa wa siku hizi, zile trip za ulaya, land rover, nyumba etc sio utajiri na zilikuwa mali za serikali na wengi walipostaafu waliishia kuadhirika tuu
 
Kalikawe nlikuwa namuonaga sana
Mitaa ya upanga, kipande cha dinbosco ,alikuwa anaishi huko pia upanga

Ova
Alikuwa anaishi UN Road opposite na Tambaza Secondary.

Justin alikuwa so devoted to his music and being a rasta, down to the diet, jamaa alikuwa hali nyama kabisa.

Justin ali inspire a whole generation of Upanga kids wajifunze kupiga gita.

Dah, mmenikumbusha Justin.

Mmenikumbusha mbali sana.
 
Ebana nataka nijue wewe ni nani hahahahaha, dah, inabidi nizane kuvuta kumbukumbu yule jamaa pale alikua nani , maana nakumbuka sana alivyo panda ila nina uhakika nakujua kama yote hayo ume yafanya hahahhaahah aisee, ilikua si mchezo ,
 
Aliishi karibu na IST kabla ya kuondoka nchini, huyo wa Hill Road alitokea Chang'ombe kota, wote hawa walifariki.
 
unataka urithi????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…