Vifo vya vijana hawa miaka 80 na early 90 huko ushuani, Oysterbay

Kwa wenye kufikiria..

Umeongea point!
 
Duh, inaelekea uchunguzi uliishia kimya kimya familia zao zitakuwa zinaujua ukweli. Ingetokea kipindi hichi cha digital age na masocial media watu wangeandamana mtandaoni.

Na huko Upanga umesahau kifo cha yule mtoto baba alikuwa nguli masuala ya habari pia, mzee wake alishashikaga nyadhifa pia Serikalini.

Huyo ilisemekana alijiua

Scenario kama hizo hizo za vifo

Ova
 
Sasa watoto wa nyerere wawe na shida na watu kwa sababu zipi
Watoto wenyewe hawana time na kujiingiza na masuala ya biashara kubwa za nchi nk
Wamejiridhikia tu

Ova
Kwa habari za kuaminika ni kwamba kwenye ile tano MAKONGORO alikuwemo lakini me smile akawalalamikia wazee eti yeye no mwenyekiti ila hana meno akapewa karatasi afanye atakalo !akakata jinai la MAKONGORO akatia la mwezi wa kwanza!!!!

HADI kipipa alishangaa na wazee wengine wa chama!!
 
Duh...aise
Ila bora hajapewa...kwa wanaomjuwa
Makongoro big no ....
[emoji1]

Ova
 
Na yule aliyeanguka ghorofani Makumbusho kama hana tofauti na hao
Wewe huyo jamaa unamsoma mwenye mitandao, wote hatumjui , mimi na zungumzia watu ninao wajua, so huu uzi labda haukufai sababu huna idea na ninao wazungumzia ni kina nani.
Kabla hawa kina Diamond kukamata soko na kugeuza umaarufu kwa ku add glamour , zamani celebrities hawakua na mvuto, walionekana masikini na washamba ( haswa kw avijana wa Obay /Masaki hawakua na tme na mabendi waliona ni mambo ya uswahini na washamba ) ,, hivyo sisi wa Ushuani tulikua na celebrities wetu kwa maana ya Socialites, sasa huyo Makatta na Robert walikua famous na ndio stars wetu huko Obay, so misiba yao ilikua shocking kwa kila mtu aliye wajua , ndio sababu nasema ilikua ni big news ilikuwa
Ninajua humu kuna wengi wa Obay ,Masaki ,Ada Estare ,Upanga , Reagent Estate ,Mikocheni wanao jua nao wazungumzia na wapo walio kuepo wakati misiba hiyo inatokea ndio nasema na hao wanao zijui hizo familia na kuwajua marehemu na matukio hayo.
 
Upanga hiyo miaka ya 80 au?, Yes kesi ya wauaji wa Angelica ili kwenda mahakamani na ninakumbuka mama yke Angelika alikua akihojia na mawakili wa watetezi waki mhoji maswali mazito ya kumuumiza , yule mama alikua ana ishiwa nguvu akitoka kwnye kiti , sijui hao jama waliishaje hiyo kesi , sijui kama walishinda au ilikuwaje.
 
Sijui binti yake yupo wapi kwa sasa Dr hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…