Vifo vya vijana hawa miaka 80 na early 90 huko ushuani, Oysterbay

Tazara club ilikuwa ni nyuma ya leaders club. Nowadays kuna apartments za NSSF.
 
Tazara club ilikuwa ni nyuma ya leaders club. Nowadays kuna apartments za NSSF.
Nimeikumbuka Tazara Club , yes hapo si walikua wana piga zile Mayenu , nilikuwa si pendi hapo sababu sikuwa mpenzi wa hizo nyimbo, nakumbuka kipindi hicho Clouds walisha funga 7th floor na wakafungua sehemu mtaa wa Samora ave kitu kama Twiga hotel, kukawa padogo na kuna joto hatari, baada napo wakafunga , ikawa hakuna tena sehemu ya sisi wapenzi wa r&b/HipHop, ikawa sehemu ni Tazara club tuu ( ila nilidhani Tazara ni part ya Leaders Club ) ambako ni Mayenu tuu , nilikuwa na kwenda hapo basi tuu ila nilikua si enjoy the music kabisa. Bahati nzuri nadhani ndio Clouds wakaja fungua LaDoce Vita angalau kwa muda tuka enjoy wapenzi wa r&b/HipHop.
 
Mbali sana bro. Pick ups etc etc zilitumika kutusafirusha. Nadiriki kusema tulienjoy kula bata kunogesha kipindi hicho👉🍺🍻🥂🍾🍷🥃🍸🍹
 
Mbali sana bro. Pick ups etc etc zilitumika kutusafirusha. Nadiriki kusema tulienjoy kula bata kunogesha kipindi hicho👉🍺🍻🥂🍾🍷🥃🍸🍹
Kweli kabisa, kabla ya kwendda Ulaya and America, nilikua nina Wish ninge zaliw aUlaya au bba aynge angekua balozi Ulaya or America, ila baada ya kufika America nakuona watoto wa age zetu wanavyo ishi nikasema sijutiii kuzaliwa na kukulia Bongo nikiwa a teenager , bata zilikua za maana hahahahahahhaha
 
We jamaa una maarifa na uelewa mpana sana wa mambo, amini maandishi yako unayoandika hapa kuna watu tunasoma na kujifunza sana.
 
Mkuu Nyani Ngabu toa location aisee
 
Rasta kama Baba T. Baba T ( R. I. P) hakuwa rika letu. Ni mtu mzima sana. Alikuja TZ zamani sana, hakuwa mmoja wa vijana wa Obey
Nimemshangaa sana kusema eti Baba T alimaanisha Afande Sele, pengine hata hamjui Baba T na heshima aliyonayo kuanzia kwa ma rasta mpaka watunza wasingi
 
That's my G[emoji106][emoji1666]

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Jama nauliza pia , kuna demu mmoja alikua ana kaa pale wa Mzee Shaba, sina uhakika alikua ni mjukuu au mwanae, nilikuwa nina mzimia kinoma, ila alihama shule ,sijui ali hamia wapi ,kitu kama ali hamia South Africa or Namibia , sina uhakika kama ni yeye aliye hamia South Africa or Namibia sababu kipindi chao shuleni Obay kulikua kuna demu mwingine ali hamia South walikua darasa moja , Baba wa huyo demu alikua ni a South African or Namibian , sasa sijui kama namchanganya na huyu , alikua anaitwa Bongi, nani anafahamu alipo sasa? kitu kama aliitwa Bongi Ulimwenu or Bingi Shaba.
 
Mkuu ww kila Demu ulikuwa unamzimia kweli ndege wafananao huruka pamoja maana Mapinduzi nae hakuwa mchache, by the way Salam zako nilizifikisha kwa crush wako Judy juzi nilikuwa kwao Mwenge, alitamani kukujua unfortunately humu tuna fake I'd ilibidi nimuache kwenye mataa
 
Kavideo kadogo

Ova
Your browser is not able to display this video.
 
Kweli dah, nilikua napanga kichwani kwamba fulani lazima aje kuwa demu wangu , hahahaha .Dah nime furahi sana kusikia umenifikishia , habari, angalau my crush kajua kulikua na kajamaa akana minde kinoma noma, sasa cha kufanya ni utanipa maelezo ya anapo ishi , (ila usije hofu mimi sio a psycho stalker ) ili nimtafute kijanja , unajua tena hiz ID za humu haikawii watu waka nijua mimi ni nani , inabidi niende kijanja ili asije stukia ni mimi , ila nataka sana nimuone na niongee naye hahahahahahaa.Nashukuru sana kw akumpa salamu zangu ,My Juddy .
 
Mkuu naona unazunguka sana, kurahisisha kazi ww nitumie namba zako PM then nimpatie atakuchek mwenyewe coz siku hizi watu wana hama hama, ninaweza kukupa Address za anapoishi then siku mbili tatu akahama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…