Vifo vya vijana hawa miaka 80 na early 90 huko ushuani, Oysterbay

Safi kijana naona umepewa kazi ngumu baada ya ku report. Umeamua rusha file kwa wana jamii ujuwe vile uta anza kazi.
Ila Mimi ningekushauri kurudi ktk maeneo tajwa nakua mwana maeneo ya tukio huku ukijivika shida na matatizo ikiwezekana hata kuingia dampo. Ukianza jamii uwenda ukapata Yale Yale yamo kwenye file pindi itatokea I'd mnafanya nayo uchunguzi au walio kupa kaz.
Nendambali zaidi kutafuta maaskari walio kuwa siku ya tukio uwenda ni wazee sana ila watakufaa ukimaliza hapo ndio uje jamii tafuta zaidi taarifa. Jicho la Tatu.
 
Basi kwakuwa hao watu sio muhimu humu jf ingependeza mkaunda group la watoto wa kishua wa obey then ukatumbukizia hiyo mada yako ya kuwaulizia hao waliorushwa huko maghorofani naamini ungepata taarifa sahihi kuwahusu. .

Sasa kila mtu kutoka eneo lake huko aje jf kuanzisha thred ya kuwaulizia waliokufa huko kwao jf itakuwa ni uwanja wa fujo......
 
Utakuwa mchawi wewe, unaumia kusika habai za kishua na uzee wote huo, asa headline haikuhusu kwanini uingilie kusoma kupoteza muda? Niliweka eadig kabisa ujue mada hii ina husu nini, sasa wewe unataka kufanya nini humu kama una weza ku kasirishwa na kusikia habari za watoto wa kishua?
 
Sikuelewi unacho andika, kama uzi unaona haukuhusu basi kaa kando, , ukianza uzi kuhusu ushoga na wewe utakuja dandia , si utasema haikuhusu , sasa hili suala la kishua wewe linakuhusu nini?
 
Ina maana wewe kila uzi lazima usome, utasoma uzi ngapi humu , ina maan huna maisha una kazi zaidi ya kusoma kila uzi hata usio kuhusu? Mbaka sasa uzi una viewers 4K , wote hao why wame soma kama hawajavutia na headline?
 
Ina wezekana maana enzi hizo Ung'eng'e ni either unasoma Olympio , Arusha School or familia mmetoka nje ubalozini , la sivyo ni kiswahili mtindo mmoja.
Enzi hizo standard ya elimu ilikuwa juu sana, kwa wasomi kuongea kiingereza hata darasa la 6 ni kawaida siyo sasa chuo kikuu kiingereza kinamshinda, zamani siyo mpaka uende international school, ni yeyote aliyesoma kidogo, alikuwa anatema yai
 
Alikuwa DG wa TRC Shirika la Reli
Isije kuwa ni hao hao wali kuja hamia huko Mzinga way , maana nakumbuka kama hao bakilana wa huku kaunda or Kenyatta , Baba yao alikuwa kama ni TRC na kama walikuja hama hapo na labda ndio wali hamia Mzinga way, kuna wale wavulana nime sahau majina yao kitu kama Julius nadhani nyumba yao ilikua na ule mnara wa Meli , kitu kama hicho .
 
Enzi hizo standard ya elimu ilikuwa juu sana, kwa wasomi kuongea kiingereza hata darasa la 6 ni kawaida siyo sasa chuo kikuu kiingereza kinamshinda, zamani siyo mpaka uende international school, ni yeyote aliyesoma kidogo, alikuwa anatema yai
Hahahahaha labda ulikuwa wa kishua zaidi na uka soma Olympio or Arusha School, wa kizazi chetu wengi wana struggle kuonge kingereza mpaka leo , walio soma shule za kawaida , lol
 
Kweli uko nje long tym na swahili umesahau venye inaandikwa...
 
Robert kama ni yule wa pale bongoyo sio kifo cha ajabu alikuwa handsome sana yule dogo sasa mke wa bosi nadhani alimtokea wakaanza mahusiano. Kifo chake za mwizi arubain. Alirushwa toka gorofani sawa ila baada ya kutobolewa sana na visu
 
Yule mwingine alianza kujihusisha ma madawa ya kulevya ndio kifo chake kiliishia huko kwa ujumla alikuwa pumbafu sana shule hataki na ubishoo mwingi kula kulala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…