Vifo vya vijana hawa miaka 80 na early 90 huko ushuani, Oysterbay

Unakumbuka Maandazi road na vibatali hahahahahaaha
Unajua mm nmekulia uswahilini
Nlikuwa nakaa mpakani wa kinondoni
Shamba na ada Estate
Nmesoma mbuyuni na forodhani,sasa forodhani nolikutana sana na watoto wa kishuwa....si unajua zile shule wanaletwa na magari wanachukuliwa na magari
Sisi machizi ni kupanda mabasi UDA
Alafu these years unasikia wenzetu wameenda ma usa,ulaya si mchezo
Sema sasa watoto wa kishuwa nao kuna mikato walikuwa wanaikubali kutoka kwetu....
Down town pale nlikuwa na wanangu wakina d.luena,kide
Walikuwepo watoto wa smbdy rubambe dah
Zamani life was bana sahv mijitu sijui imetokea wapi eti inasumbua

Ova
 
Joseph Rubambe alikuwa huku US kuna wakati, nafikiri karudi Bongo kitambo sasa kama sikosei.

Mshua wao alikuwa top boss wa CRDB. Very nice gentleman.

Mkapa alimfanyia wiretap mshua wao kwenye simu mwaka mzima anamsikiliza tu maongezi yake.

Siku moja, akamuita Ikulu.

Mzee Rubambe akajua leo ndiyo naenda kuchinjiwa baharini, nimefanya nini?

Kufika Ikulu, Mkapa akacheka sana kumuona, akawa anamkumbusha stories za Pugu Secondary walisoma wote.

Akamwambia anataka kumpa kazi ya kubinafsisha mashirika ya umma.

Mkapa noma sana, alimdukua Mzee Rubambe mwaka mzima kumchunguza kabla ya kumteua kuwa Chairman wa PSRC.

Siku hizi unasikia uteuzi wako mwenyewe redioni, no vetting, no communication.
 
Aise nlikutana naye muda sana sehemu fulani
Hehe nmkumbuka yule dingi

Ova
 

Nakumbuka story ya Makatta, nilikuwa standard four or five. Hata sifahamu iliishia wapi hiyo case. Nachokumbuka ni kuwa kulikuwa na uhasama mkubwa between vijana wa Oysterbay na vijana wa Upanga kipindi hicho.
 
Dah,

Nimesahau parties za Mwalimu na Jaji Mihayo huku Winding Ave kwa kina Devotha na Solo.

It was so nice. Life was so easy. No pressure.

Aisee! Mihayo tulikuwa tunashare uzio wa nyumba 1985/1986 kina Solo na Devotha tumecheza nao sana kombolela. Before wahamie kwenye hiyo nyumba kulikuwa na familia ya kina Opanga watoto wao wakiwa ni kina Alpha, Akinyi na Magetta, this was 1984! Mtaa ulikuwa unaitwa Ethiopia Crescent I remember our house was number 35! Long time ago. Last year I intentionally tried to find my way out there aisee ule u-sure haupo tena kumejengwa majengo hata sielewi ni kama kumekuwa commercial area
 
Asante sana, nilikuwa najaribu kukumbuka jina la ule mtaa, Ethiopia Crescent.

Hao kina Opanga ni watoto wa Balozi Joshua Opanga, alikuwa mkuu wa itifaki na baadaye akawa balozi wa Tanzania Uganda.

Dada yao mwingine anaitwa Lola.

Alpha Opanga kichaa sana yule jamaa. Kuna siku nilikaa naye tunakunywa beer, akawa analeta stories zake anasema anataka kuanzisha mradi wa vyoo vya kulipia mjini Dar, atapiga hela na kuhakikisha usafi wa vyoo.

Wakati huo vyoo vya bure, lakini vichafu sana.

Nikasema wewe Alpha tuondolee stories zako hazina kichwa wala mguu.

Nikakaa mwaka baadaye, nikaona jiji linajenga vyoo vilevile alivyosema Alpha.

Nikasema mara nyingine unanyanyapaa idea kwa sababu imetoka kwa mchizi tu, kumbe ni idea nzuri tu.
 

Yes Lola namkumbuka. Opposite na kwa kina Alpha kulikuwa na mzee anaitwa Buizilili I think mkewe alikuwa mzungu mzungu. Watoto wao kina Anita, Norah, Bella na Milly. Sasa Bella ndio alikuwa rika langu nakumbuka. Opposite na kwetu alikuwa mzee Temu alikuwa boss mkubwa polisi I can’t recall cheo but ni mzito kwelikweli.
 
Kama familia yenu ilikuzwa katika maadili, ni jambo la kushukuru. Usioongelee familia baki usiojua wanaishi vipi. Unaongelea utulivu, hakuna vurugu ilhali vifo vyote vinaonesha ukatili na vurugu?
 
Nyie vijana wa ushuani wa zamani mbona humtaji mzee wa bataz le mbembez, the American spirit, free education, mzee wa mabebez in the world, akili kubwaz you know, gadem juu ya gadem at 5star hotel, boma yeeee, si mwingine ni super billionaire, lemutuz super brand mtoto wa mkubwa RIP and case closed.
 
Mtoto wa Malecela wa kiume aliyekuwa anajulikana Oysterbay ni marehemu Ipi Malecela.

Ipi alikuwa anaendesha Benz anapenda kupiga nyimbo za Notorious BIG Oysterbay Beach.

Ipi alikuwa akirudi kutoka Uingereza lazima Bonny Love amtangaze club, "Ipi Malecela straight from London".

Alikuwa anawaletea watu wa Clouds records (LP), tena akiwaletea records anawanunulia mbilimbili, moja anampa DJ Bonny Love, nyingine anampa Kusaga.

Sasa watu walikuwa wanashangaa inakuwaje Bonny Love anamfagilia sana Ipi Malecela? Kumbe Ipi alikuwa anawanunulia sana LPs Clouds.

Mzee Malecela alikuwa anamuandaa Ipi kwenye chama, akawa kiongozi jumuiya ya vijana, akafariki katika mazingira ya utatanishi naye.

Mzee Malecela akaulizwa kama anataka mwili wa Ipi ufanyiwe autopsy madaktari wajue vizuri kilichomuua, lakini Mzee Malecela alikataa, akisema yote ni mapenzi ya Mungu tu.

Marehemu William "LeMutuz" alikuwa mkubwa sana kwetu nafikiri alishaingia kwenye ubaharia miaka hiyo, hivyo watu wengi wa rika letu hatukupata kumuona tulivyokuwa Oystebay.

Mimi William nimekuja kukutana naye baadaye kabisa New York.
 

Lemutuz hakuwa rika letu, he was older than my elder siblings. Ipi ndio alikuwepo, he was same age with one of my older brother.
 
Sasa mchizi wa JF nakupa idea nyingine, nunuwa ardhi uswahilini ambako bado Ardhi inauzwa kwa thamani ndogo jenga community swimming pool kubwa halafu ndani yake weka kapub kadogo na something like circus ya michezo ya Watoto, wekeza hii kitu kwenye community tofauti tofauti according to your research

Utapiga pesa mpaka basi, na hii ni permanent investment.

Bongo kuna tatizo la community kukosa maeneo yao ya kufurahia maisha zaidi ya watu kuwekeza bar tu kila corner.

Uzuri wa Bongo almost ni summer time mwaka mzima kwahiyo swimming pool ni biashara inayolipa sana.
 
Hizo swimming pools zinakuwa na life guards?

Maana hapo inawezekana watu wakazama halafu unapata liability.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…