Vifo vya vijana hawa miaka 80 na early 90 huko ushuani, Oysterbay

Hippy = Ipyana Malecela naye alisumbua sana!
 
ila we jamaa mwamba sana,kwanza ni wa kishua,alafu nahisi unaishi mbele huko kwa sasa maana hata kiswahili kinakukataa hivi lakini cha ajabu umempa mtu makavu sijaona hata unyamwezi umo wa mazafaka sijui vitu gani gani zile shit za kimbele mbele huko.

Barikiwa sana mkuu endelea kutuheshimu hivyo hivyo ndugu zako ingawa tunaishi dunia tofauti.
 
Hakika Dar ilikuwa kijiji siku sio nyingi
 
Aisee inatosha tutakujua nilisoma Oysterbay kipindi kile cha miaka ya 80 sitasahau kwenye kilima nyege tukiwe tunakwenda Coco beach kwenye beach party
 
Huyu jamaa ana kesha kusoma yasio mhusu,si angesoma na kuyaacha.
 
Aisee kweli , siku hizi kuna watu wameibuka hahahahahahaha, ume ni chekesha kitu kimoja, kuna jama walikua wana kaa hapo Namanga ,uswazi, sasa walikua wanakuja Obay , wana ndugu zao, hao jamaa ndio wakaanza funza watoto wa kishua wizi, waka wana waambia , ukiingia ndani , cheki kwnye wallet ya baba yako una weza kuta dollar chukua halafu lete, au walio walio fuga kuku,walikua wana waambia ingia bandani iba kuku , sasa kibaya ndio wakawavutisha bangi, kuna jamaa mmoja hadi leo ame data sababu ya bangi na pombe na chanzo ni hao jamaa wa Namanga hapo .Kama mtu amesha wastukia ni nani please anomba asiwataje majina .lol
 
Nimerudi Bongo nikakuta Maandazi road imepigwa lami, halafu Obay Primary pale Karume Rd pana mashimo kibao!

Maandazi Road ilikuwa ikinyesha mvua ni shida tupu barabara ile.
Dada wa kazi alikua anakaa Msasani ,hivyo kama ana sherehe nyumbani kwake tulikuwa tuna kwenda huko , tukawa tunapita maandazi road, vibatali kibao na ndio mara ya kwanza nikaona samaki kambare hapo kwenye meza . hahahahahah
 

Aisee unajua kufukua makaburi. Ngoja waje wanaojua watujuze.
 
Nakumbuka story ya Makatta, nilikuwa standard four or five. Hata sifahamu iliishia wapi hiyo case. Nachokumbuka ni kuwa kulikuwa na uhasama mkubwa between vijana wa Oysterbay na vijana wa Upanga kipindi hicho.
Kulikua na uhasama huo , vijana wa Upanga hawakutupenda wa Obay sababu mademu na dada zao walitushokokea sisi wa huku ,ile case sijui iliishaje na hata details zina kabisa , wengine wana sema wali mrusha toka kwnye summit, wengine walisema wali mshika miguu na kuanza mburuza kutoka ghorofa ya juu ,huku akijigonga kichwa mpaka chini na ndio aka fariki , yani sielewi ilikuaje .
 
Ukiangalia mandaz Road sahv na zamani unasema ...ehh

Ova
 
Aisee , mimi nime wajua The Jacksons kwamba ni popular sababu ya kina Opanga, sababu kubw akwetu tulikua na zile Albums za LP na tukawa na hao The Jaclsons Albums zao , sasa hao kina Opanga wakawa ndio wam erudi toka USA ,miaka hiyo , kipindi cha party za wakaona hizo Albm ndio wakaanza tuhadithia , huyu ni Michael jackson , hawanni the Jacksons ni wako popular sana USA , ndio nikamjua Michael jackson wakati huo yuko kwnye Gorup la the Jacksons
Kama nyumba yeni ilikua next to Opangas basi before nyumba yenu hapo walikua wana kaa kina Arden ,Wema and Ndoli , mama yao alikua Mganda , baba yao alikua ni yule Waziri nime sahau jina lake, Obanga walrdi na gari eni hizo ndio tunaona kali Peugeot 504 na bada ya muda nao hao wakanunua Peugot 504 kali ina hadi sun roof, iilkua matanuzi haswa , nyumba next, ilikuwa wanaitwa Kimbwereza sijui wako wapi now.
 
Duh....

Ova
 
Life imebadilika sana

Ova
 
Nostalgia
 
Watu wa ushuani kukumbukwa ni muhimu zaidi kuliko hao unaosema bro. Ni kama tunavyowakumbuka wale 5 waliokufa na submersible Canada na kutojali wahamiaji 100+ waliokufa Greece (wengine kati yao wametokea ushuani huko kwao Pakistan, nk).
Ndio dunia...
Umuhimu wao uko wp Sasa hapo, kufa ni kufa tu.

Aliyefia soko matola na aliyefia masaki wote ni wafu tu, msijipe umuhimu msiostahili nyie watoto wadogo... au kama vp nendeni fb huko mtakuta watoto wenzenu wa obey mtajadiliana vifo vya hao wakishua wenzenu.
 
Yes Buzweiriri mama ya mkewe alikua halfcast wa kizungu, Bella yuko Sweden and Milly yuko UK, anita or Norah mmoja aliolewana somebody kw aukoo wa Rupia, ilkua bonge la harrusi ,ilifanyika Kilimanjaro Hotel Poolside, maharusi wakaaka katika swimming pppi kuliwekwa a flating stage hapo , harusii ilikua na vigogo wote , mwingine aliolewa na jama wa gambia aor Guniea kitu kama hicho .
Aisee , kuna rfiki yangu hapo kwa TEMU alikuwa naitwa Mapinduzi , sijui yuko wapi , mara nasikia sijui alifariki longtime , sijui kama ni kweli, dada yao alikua Mkubwa wa miaka mingi ila ndio nilikua nampenda ,nyumbani waka wa wananitania mchumba wangu, mimi nikiwa Nussery school hapo nilikua na mpenda sana huyo alikua anaitwa Juddy , mpaka leo na muwazaga now anweza kuwahata ana miaka 60 huko .
Kabla ya Temu kwnye hiyo nyumba kulikua na boss mwingine wa Police alikuwa anaitwa Nguruwe sijui nao wako wapi hao jamaa.
 
Sasa ndio mada gani hizo za kikolo za kuleta humu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…