Vifo vya vijana hawa miaka 80 na early 90 huko ushuani, Oysterbay

Huwa najiuliza hawa dingi wetu walio jua vitu vizuri na kupenda vitu vizuri , wali miliki viu vizuri na kutupa vitu vizuri ina weekana walikuwa mabishoo huko mashuleni waliko kuwa , maana naona mabisho wetu ni wazazi kwa sasa so ninajienga picture ina wezekanana wazazi wetu nao walikua ma bishoo ila hatukuwstukia tuu.
Juzi juzi niemstuka I swear mom ni bishoo tena anapend ku show nime mgundua juzi juzi , baada ya kuona na uzee huu bado anapenda kuvaa na party sizizo isha ,mimi siku zote naona she was just my mom ila kuna vitu nimegundua kumbe ni sister doo wa zamani , mimi na ndugu ngu tuna kasirishwa na tabua hiyo , kwa sas kibano kimegeuka sisi tumekua wanoko yeye ndio amekuwa sister do ,. Je wewe mzazi wako huja mstukia kitu ?
 
Dah,

Mambo Club ndiyo hii ya hapa Karibu Hotel siyo?

Mambo Club nimeruka sana nyoka hapo na mchizi wangu Mikola Mahiga (RIP).
Ndiyo hiyo hiyo….hahaha.

Dar ni mji mkubwa lakini ni ‘mdogo’ hususan enzi hizo za 80s na 90s.
 
Mambo club siku ifahidi sana wakati ina anza ndio nikaondoka na dhani iile week ya kwanza tuu, Mikola huyu sikumbuki nilijuana naye vipi , sijui ni Kwa kupitia Opangas au ni nani , ila nilikua mdogo sana na walikua wana kaa kama maeneo ya huko osyerbay mtaa w a Winding kama unaelekea the Green, baada ya muda tukasikia kwamba wameondoka kwenda Canada .
 
Huwa najiuliza hawa dingi wetu walio jua vitu vizuri na kupenda vitu vizuri , wali miliki viu vizuri na kutupa vitu vizuri ina weekana walikuwa mabishoo huko mashuleni waliko kuwa , maana naona mabisho wetu ni wazazi kwa sasa so ninajienga picture ina wezekanana wazazi wetu nao walikua ma bishoo ila hatukuwstukia tuu.
Juzi juzi niemstuka I swear mom ni bishoo tena anapend ku show nime mgundua juzi juzi , baada ya kuona na uzee huu bado anapenda kuvaa na party sizizo isha ,mimi siku zote naona she was just my mom ila kuna vitu nimegundua kumbe ni sister doo wa zamani , mimi na ndugu ngu tuna kasirishwa na tabua hiyo , kwa sas kibano kimegeuka sisi tumekua wanoko yeye ndio amekuwa sister do ,. Je wewe mzazi wako huja mstukia kitu ?
Sitauita ubishoo. Nitauita ni ujana tu.

Mfano binafsi;

Mtu aliye introduce R n B kwangu alikuwa ni mdingi.

Alikuwa ni mpenzi sana wa Marvin Gaye.

Albums zote za Marvin Gaye alikuwa nazo.

Wimbo alioupenda sana ni Sexual Healing.

Wakati album ya Midnight Love inatoka, yeye alikuwa yuko Marekani kikazi hivyo aliweza kuinunua akaja nayo.

Hapo ndo ilikuwa Mara yangu ya kwanza kufuatilia kwa ukaribu muziki wa R n B.

Pia, yeye mdingi ndo alikuwa mtu wa kwanza kunifanya niupende mchezo wa American Football kwa sababu yeye alikuwa anaupenda.

Super Bowl yangu ya kwanza kuangalia ilikuwa ni San Francisco 49ers vs Cincinnati Bengals.

Yeye ndo alikuwa ananielezea yote yanayojiri kwenye mechi…..sijui 1st down, 2nd down, touchdown, interception, n.k.

Hayo yote aliyajua kwa sababu yeye elimu yake ya juu aliipatia Marekani.

Na college sports Marekani ni kitu kikubwa sana.

Kwa vile yeye enzi hizo alikuwa kijana, hayo ndo mambo waliyokuwa wanayafuatilia kwa ukaribu.

Hivyo sidhani kama ni ubishoo per se. Ni mapitio yao tu ya ujana.

Ila naelewa ni kivipi wengine wanaweza kuuona huo kuwa ni ubishoo.
 
Mambo club siku ifahidi sana wakati ina anza ndio nikaondoka na dhani iile week ya kwanza tuu, Mikola huyu sikumbuki nilijuana naye vipi , sijui ni Kwa kupitia Opangas au ni nani , ila nilikua mdogo sana na walikua wana kaa kama maeneo ya huko osyerbay mtaa w a Winding kama unaelekea the Green, baada ya muda tukasikia kwamba wameondoka kwenda Canada .
Wale kina Mikola na kina Opanga ni cousins, mama zao ni ndugu. Nafikiri na kina Muhombela pia. Halafu wote walikuwa majirani kule mitaa ya Hill Road (now Yasser Arafat Road)

Mikola alikuwa anakuja kutoka Geneva hajui viwanja vya Bongo, nampeleka Mambo na sehemu nyingine Dar. Akienda Namanga kununua vyakula alikuwa anaingia mpaka ndani dukani kuchagua, anafikiri sawa na supermarkets za Switzerland, sasa mimi nikawa kama namuambia hapa hatufanyi hivyo, lakini wale wauzaji dukani walikuwa wanamuona huyu si mtu wa hapa, wakawa wanamruhusu anaingia dukani anachagua mwenyewe kutoka kwenye shelf.

Nimesikitika sana kusikia alifariki kwenye ajali ya gari Switzerland.

Yani katika kipindi kifupi sana bibi yake mzaa mama alifariki, baba yake Balozi Dr. Mahiga akafariki, Mikola akafariki, na mama yake Mikola naye akafariki.

Yani familia imepata mapigo mfululizo katika miaka michache sana.
 
Ndiyo hiyo hiyo….hahaha.

Dar ni mji mkubwa lakini ni ‘mdogo’ hususan enzi hizo za 80s na 90s.
Miaka ya 1980s mwanzo ukienda mjini Dar karibu kila mtu unamjua, ama kupitia shule ama michezo, kanisani etc.

Na watu hawakuwa wengi Dar, walikuwa hata milioni hawajafika or just thereabout.

Kulikuwa na magari ya Halmashauri ya Jiji yanazoa takataka mara moja kwa wiki mji mzima. Yanapita mtaani.

Siku hizi watu wamejazana, nikirudi mimi ndiye naonekana mgeni.

Zaidi ya nusu ya nchi ni watu waliozaliwa wakati nishaondoka Tanzania.
 
Wale kina Mikola na kina Opanga ni cousins, mama zao ni ndugu. Nafikiri na kina Muhombela pia. Halafu wote walikuwa majirani kule mitaa ya Hill Road (now Yasser Arafat Road)

Mikola alikuwa anakuja kutoka Geneva hajui viwanja vya Bongo, nampeleka Mambo na sehemu nyingine Dar. Akienda Namanga kununua vyakula alikuwa anaingia mpaka ndani dukani kuchagua, anafikiri sawa na supermarkets za Switzerland, sasa mimi nikawa kama namuambia hapa hatufanyi hivyo, lakini wale wauzaji dukani walikuwa wanamuona huyu si mtu wa hapa, wakawa wanamruhusu anaingia dukani anachagua mwenyewe kutoka kwenye shelf.

Nimesikitika sana kusikia alifariki kwenye ajali ya gari Switzerland.

Yani katika kipindi kifupi sana bibi yake mzaa mama alifariki, baba yake Balozi Dr. Mahiga akafariki, Mikola akafariki, na mama yake Mikola naye akafariki.

Yani familia imepata mapigo mfululizo katika miaka michache sana.
Aiseee, so tragic kumbe ilikua ajali ,nilijiuliza nini kilimuua , ina maana Mke wa balozi Mahiga pia alifariki au Mikola alikua na mama mwingine, maana na wafahamu pia George na grace nadhani ni mama tofauti na Mikola ,aisee its a sad stroy kwa kupata misiba ime fululiza hivyo .
Muombela kabla ya kurudi TZ ,walikua wanakaa huko maeno ya mtaa wa Winding kama kwenda the green na nadhani nime mjua Mikola kupitia kati ya Mhombela au Opanga , sababu nadhani Mikola alikua anakuja hapo kwa Opanga sikumbuki walikua wanakaa Sea View au Upanga na akawa nakuja Obay kwa ndugu zake au nao walikua wanakaa huo mtaa Winding , baadae tukasikia Wamekwenda Canada na baada ya Muda tukasikia pia Muombela nao wamekwenda US .
Muombela watoto walikua na dada yao alikua anaitwa Mpilu, alikua ana tutisha kama ana taka kutuchapa tukiwa watundo so tulikua tuna muogopa akija anasema nyie watoto watundu na chukua fagili basi tuna run kama vichaa ,dah
 
Mama yake Mikola, Elizabeth Mahiga, mke wa balozi Dr. Mahiga, naye alifariki. So sad.

Misiba imekuja kwa mfululizo sana kwenye ile familia.
 
Sitauita ubishoo. Nitauita ni ujana tu.

Mfano binafsi;

Mtu aliye introduce R n B kwangu alikuwa ni mdingi.

Alikuwa ni mpenzi sana wa Marvin Gaye.

Albums zote za Marvin Gaye alikuwa nazo.

Wimbo alioupenda sana ni Sexual Healing.

Wakati album ya Midnight Love inatoka, yeye alikuwa yuko Marekani kikazi hivyo aliweza kuinunua akaja nayo.

Hapo ndo ilikuwa Mara yangu ya kwanza kufuatilia kwa ukaribu muziki wa R n B.

Pia, yeye mdingi ndo alikuwa mtu wa kwanza kunifanya niupende mchezo wa American Football kwa sababu yeye alikuwa anaupenda.

Super Bowl yangu ya kwanza kuangalia ilikuwa ni San Francisco 49ers vs Cincinnati Bengals.

Yeye ndo alikuwa ananielezea yote yanayojiri kwenye mechi…..sijui 1st down, 2nd down, touchdown, interception, n.k.

Hayo yote aliyajua kwa sababu yeye elimu yake ya juu aliipatia Marekani.

Na college sports Marekani ni kitu kikubwa sana.

Kwa vile yeye enzi hizo alikuwa kijana, hayo ndo mambo waliyokuwa wanayafuatilia kwa ukaribu.

Hivyo sidhani kama ni ubishoo per se. Ni mapitio yao tu ya ujana.

Ila naelewa ni kivipi wengine wanaweza kuuona huo kuwa ni ubishoo.
Hahahahaa aisee Mimi mzee wangu alikua anapendapia sana Music alikua na zile LP kajaza , kila latest music alikuwa nayo na kazi yake alikua ana nafasi ya kusafiri basi alikua ana kuja na vitu vizuri, nakumbuka hizo Music Videos alikua sijui anatoa wapi, hiyo Sijui Top of the Posp, Soul Trains, mimi hizi Awards show Grammy, American Music Awards zote nime zijua sababu ya Mzee wangu alikua anajua nakuzifuatilia kabisa, tapesa alikua anakuja na zo akisafiri , sijui alikua ana record wapi .
Sasa mother wangu ndio aliku ana unga tela Mzee akisafiri ,alikau anajua kupenda kuvaa hadi leo na pia hata sisi asa analeta vitu latest tukivipiga watu wana stuka sasa yote hyo nilikua sija stuka kwamba hawa wazee wagu walikutana wote mabishoo.
so juzi juzi mimi na ndugu zangu tukaanza lala mika kwamba our Mom anapenda kufanya party kila siku na yani haziishi , halafu bado shopping anapenda za nguo , sasa sisi tukawa tuna mind , huyu Bibi amesha kuwa naana penda vitu vikali kwanini? Ndio nimekuja stuka ni bishooo , hahahahahaha
 
Kuna Binti mmoja Celline... ubini nahifadhi.. mtoto aliishi Zambia & Bongoyo road.. alinielewA sana.. she was the only one in the family.. alifanya Medicine, Muhimbili baadae akaenda Antlanta, Georgia.. nilikua nikifika obey.. ananitambulisha kwa Mama ake... my Boy..
Raha sanA....
Mkuu hapo ni Zambia & Bongoyo au Kaunda & Bongoyo?
 
Enzi sa Isidingo,kwa Mara ya kwanza kuijua Dar ilikua 2003 nilipelekwa na rafiki yangu Tabata huko.Nilizoea kuishi Kilimanjaro na Iringa,Tukatembelea posta Dar es Salaam aloo kuna wanawake wazuri sana.
Nilistaajabu sana na kugeuka sana hadi shingo kuuma.Sijui wanatokea wapi warembo wale.Trip nyingine nilikaa mabibo mwisho huko mabwawa machafu.Trip nyingine nilikaa kwa mjomba Mbezi makonde.
Mabibi uswahilini napapenda mana ulitaka kuzama Kariakoo,Posta ni chapu sana.Kutafuta Tuition za Advance kulifanya niwasake ndugu huko kipindi cha likizo nisome mana walimu wanapiga slow sana Topic hazisogei.
 
Duh Kuzama Karikoo , hapo ilikuaje?
 
Kuna wakati polisi waliletwa wengi Obay sana na ikawa wana kamata watu ovyo , sasa siku vijana wa OFC wakamatwa , waka wa wamesimamishwa barabarani , kidogo kuna gari ika simama, akashuka mama mmoja, akauliza kwanini hawa vijana wame kamatwa?, Police kwa dharau na akamjibu vibaya yule mama , kitu kam ali mpush yule mama , , yule mama aka soma number yake , kumbe kuja kukuta huyo mama ni Mama Warioba , kipindi hicho ndio Warioba ame kuwa Waziri mkuu , police hawakumjua , Sijui kilicho mkuta huko Oysterbay Police huyo police nasikia kitu kama ali vuliwa ranks or something.
Hahaha mama warioba

Ova
 
Back
Top Bottom