The Knowledge Seeker
JF-Expert Member
- Apr 13, 2019
- 4,389
- 6,665
Niko na swali kutoka katika hiyo comment yako.kwangu mimi,
kuishi ni kristo na kufa ni faida zaidi.
ni muhimu kuepuka viherehere pale ambapo Mwenyezi Mungu anatwaa alicho toa.
in fact,
kusingizia wasiohusika na uumbaji pamoja na kifo, ni ushirkina wa kilofa kwa kiwango cha juu mno,
ukifa wewe au mimi kwa namna yoyote ile, waliobakai hai wanastahili kusonga mbele bila kubabaika na mizoga yetu ambayo itakua ni useless katika dunia hii.
Jiepusheni na porojo, uongo na uzushi ambao hauna maana yoyote ile kwa yeyote yule hasa katika kipindi hiki cha kwaresma na mwezi mtukufu wa ramadhani
Mungu hana ushirika na wauwajimalofa wengi kama wewe huangamia kwa kukosa maarifa,
jiepushe kubebwa ufala wa kifikra na kufanywa mamaluki wa vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi.
peleka uzushi na porojo zako kwa malofa wenzio na wenye mihemko nonsense kama wewe gentleman
😄Tumewatanguliza vitani,Wamechagua KUFA,wake zao watamilikiwa na sisi tuliosalia😓😓
Imagine mpaka raia wa kawaida wa Nchi za nje wanajua Hilo , Mtu kama huyo ataacha kutengwa kweli na Top leaders wenzake wa mataifa mengine !?Inasikitisha kusikia Hadi nchi za nje wanajua kua msoga ndio anampeleka chaka samuya.
poaKwa kuwa unasikia tu watu wakisema na hawakwambii ni wapi na kitabu kipi kinasema hayo, huna kosa mkuu
Mungu hana shirika na waovu kama Wauwaji kutoka Lumumba
Hapana lazima ushtuke, hii ina maana Samia na JK wanahujumu JWTZ ili iwe dhaifu na ikiwa dhaifu wataikontrol zaidi.Yani wameuza rasilimali za Watanzania kwa warabu wameingia tamaa na kongo acha wauwawe tu hakuna jinsi haya wake wa maskari ambao wanaume zenu wapo kongo tarifa ndio hiyo kazi kwenu tunajua jeshi watakanusha cause nao imekuwa tawi la mboga mboga tu kwa sasa
Imminent impeachment of SamiaView attachment 3545909
View attachment 3545908
View attachment 3545907
Kama ni habari za ukweli basi itakuwa ni furaha kubwa kwa Watanganyika, yaani hao waliowaswaga, kuwaua na kuzika maiti za vijana wetu kwenye mass graves huku wengine wakizikwa hai ndiyo iwe na wameswagwa na real soldiers kwenye real battlefield, let me enjoy my dessert.
Jakaya is pushing this zombie Samia into the abyss.
Vichwa maji mpo wengi!Hapana lazima ushtuke, hii ina maana Samia na JK wanahujumu JWTZ ili iwe dhaifu na ikiwa dhaifu wataikontrol zaidi.
This is a wake-up call, arrest of JK and Impeachment of Samia is imminent
Mungu akusaidie sana usiangamie kilofa kwa kukosa maarifa,Mungu hana ushirika na wauwaji
Gentleman,Niko na swali kutoka katika hiyo comment yako.
Kwanini hujachagua kufa sasa?
Uwe na akili bas hata kama ni utahira ulionao jichetue ukiwa kwa watu??Yani wameuza rasilimali za Watanzania kwa warabu wameingia tamaa na kongo acha wauwawe tu hakuna jinsi haya wake wa maskari ambao wanaume zenu wapo kongo tarifa ndio hiyo kazi kwenu tunajua jeshi watakanusha cause nao imekuwa tawi la mboga mboga tu kwa sasa
Umeelewa nini hapo?Vichwa maji mpo wengi!
SA baada ya kuona wanajeshi wao wanakufa tu bila sababu wameamua kujitoa mpaka march watakua wametoa kila kitu DRC hakuna order ya Nchi yeyote acha kudanganya watu Nchi ikiamua sio lazima kupeleka..Uwe na akili bas hata kama ni utahira ulionao jichetue ukiwa kwa watu??
Wanao uawa ni watoto ,ndugu na jamaa zetu kwasababu wanapewa oda na nchi
Si hao viongozi unao wachukia.
Au ukoo wenu wote hamna aliyepo jeshini
"INCHI IKIAMUA" Nchi ni nani? I mean huyo/hao ambao ni NCHI wanaoamua, ni nani?Huko aisee
SA baada ya kuona wanajeshi wao wanakufa tu bila sababu wameamua kujitoa mpaka march watakua wametoa kila kitu DRC hakuna order ya Nchi yeyote acha kudanganya watu Nchi ikiamua sio lazima kupeleka..
Nchi inatoaje oda? ni viongozi wa nchi ndio wanatoa oda wewe kenge.Uwe na akili bas hata kama ni utahira ulionao jichetue ukiwa kwa watu??
Wanao uawa ni watoto ,ndugu na jamaa zetu kwasababu wanapewa oda na nchi
Si hao viongozi unao wachukia.
Au ukoo wenu wote hamna aliyepo jeshini